Athari za mabadiliko ya Tabianchi zinatajwa kuwa sehemu ya vikwazo katika maendeleo na ustawi wa mwanamke wa Tanzania hususani anayeishi kijijini.

Leo wakati dunia ikiadhimisha “Siku ya Kimataifa ya Mwanamke wa Kijijini”, Theresia Mwanga amezungumza Anna Almas mkazi wa kijiji cha Wami Sokoine mkoani Morogoro.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *