Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi kuboresha mifumo ya manufaa ya sekta ya utalii Zanzibar ili yawafikie wananchi wengi zaidi kupitia mnyororo wa thamani na kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana wa visiwa hivyo.

Mwinyi anayetetea kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ametoa ahadi hiyo katika kampeni zake zilizofanyika leo kama anavyoripoti Mtumwa Said.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *