KUTOKA ZANZIBAR: Msikie Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe akielezea namna walivyoweka mikakati ya kuhakikisha wachezaji wao ...

KUTOKA ZANZIBAR: Msikie Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe akielezea namna walivyoweka mikakati ya kuhakikisha wachezaji wao waliokuwa Dubai na kikosi cha Taifa Stars, wanarejea kwa haraka na kujiunga na wenzao Zanzibar.

Wachezaji hao jana Jumatano waliungana na wenzao katika mazoezi kuelekea mchezo wao mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM.

Ni kuelekea mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) ambayo itapigwa Oktoba 18, 2025 saa 10:15 jioni LIVE #AzamSports4HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#CAFCC #AzamFC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *