Katika lugha ya Kiswahili tumezoea misemo mbalimbali iliyotungwa na wahenga wa zamani, lakini kwa kijana Milomilo, mjasiriamali kutoka Bariadi mkoani Simiyu, mambo ni tofauti. Yeye ameamua kutunga misemo yake mwenyewe kwa kutumia lugha ya Kiswahili na Kisukuma, kisha kuitumia katika biashara zake ili kuvutia wateja.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi