22 Oktoba 2025

Mkutano uliokuwa ukitarajiwa huko Budapest kati ya Trump na Putin wasitishwa. Marekani imesema ina matumaini mpango wa amani Gaza utaendelea kutekelezwa. Waasi wa M23 wapora dhahabu zenye thamani ya dola milioni 70 mashariki mwa Kongo.

https://p.dw.com/p/52NwJ

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *