#HABARI: Msimamizi wa uchaguzi Jiji la Mbeya Annamary Malima amewataka wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupiga kura kutochanganya nyaraka zinazoweza kusababisha usumbufu wakati wa kuhesabu kura siku ya Oktoba 29, Mwaka huu.
Akizungumza kwenye Mafunzo ya Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Jimbo la Mbeya mjini na Jimbo la Uyole, Annamary Malima amewasihi kuwa makini siku hiyo kwa kujaza fomu zinazohitakija kujazwa na kutunza nyaraka hizo sehemu sahihi ili kuondoa mkanganyiko.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.