#SportPesaLeague Kwenye Ligi Kuu ya Kenya (SportPesa League) leo Gor Mahia wamempiga mtu TATU….!!!
Haya hapa magoli yote, mojawapo likiwa ni kama zawadi vile…!!! Je, umeona ni la ngapi??
FT: Gor Mahia 3-0 Posta Rangers
Burudani ilikuwa LIVE #AzamSpors4HD
#FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #GorMahiaFC #PostaRangers #GorMahiaPostaRangers