Kwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifaKwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifa



Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kwa mara ya kwanza hadharani kwamba utawala huo ghasibu unatumbukia kwenye lindi la “kutengwa,” wakati mashinikizo ya kimataifa yakiwa yanaongezeka dhidi ya vita vinavyoendelezwa na jeshi la kizayuni katika Ukanda wa Ghaza na dhidi ya sera za serikali ya Netanyahu ya mrengo wa kulia yenye misimamo mikali ya chuki na ubaguzi.



BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *