#HABARI: Kutokana na maboresho makubwa ya miundombinu ya Bandari ya Tanga, yaliyoigharimu Serikali jumla ya shilingi Bilioni 429, yameimarisha ufanisi wa Bandari ya Tanga na kuwa kivutio kwa wateja wanaosafirisha Mizigo yao ndani na njeya nchi, hususan kwa Mataifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, Burundi, Uganda, Zambia, Malawi na Zimbabwe.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania