“…kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi haupo wanatia mpira kwapani….sasa kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani zamani mapema kabisa wanasema aaaah! CCM hatuwezi hawa twen’zetuni….” Dkt. Samia Suluhu Hassan – Mgombea Urais CCM
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
