Kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Klabu ya FIFA, Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) Hersi Said kesho Oktoba 14, 2025, kuanzia saa 7:00 mchana ataongea na waandishi wa habari katika Viwanja vya GymKhana, Dar es Salaam.
Tukio hilo litakuwa LIVE #AzamSports1HD kuanzia saa 7:00 mchana
#YangaSC #HersiSaid