KOCHA MSAIDIZI YANGA: “Yanga wanataka kuliona pira biriani”

KOCHA MSAIDIZI YANGA: “Yanga wanataka kuliona pira biriani”
Mchambuzi wa soka @akingamkono anasema ujio wa Kocha Patrick Mabedi kushika nafasi ya kocha msaidizi pale Yanga unaweza kuzaa matunda kama wataelewana vema na mkuu wake Romain Folz.

Kingamkono anasema mashabiki wa Yanga wanataka kuuona mpira mzuri na hilo litakuja kwa ushirikiano mzuri wa Mabedi na Folz.

Yanga itakuwa ugenini Oktoba 18 kucheza dhidi ya Silver Strikers kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)

Mechi itapigwa saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *