NGASA AWAPA USHINDI YANGA DHIDI YA SILVER STRIKERS: “Yanga wanajua utamu wa haya mashindano”
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Mrisho Ngasa amesema anaamini mechi kati ya Silver Strikers ya Malawi na Yanga SC ya Ligi ya Mabingwa Afrika, itakuwa ngumu lakini Wananchi wataibuka na ushindi kwasabu wanaujua utamu wa michuano hiyo.
Wachezaji wengine waliozungumza ni pamoja na Seleman Kaburu na Salvatory Edward
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#YangaSC