
Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF, Gombo Samandito Gombo, yuko katika awamu ya mwisho ya kampeni yake katika mkoa wa Dar es Salaam. Gombo amezungumza na wananchi wa Kivule, wilaya ya Ilala na anatarjia kukamilisha rasmi kampeni yake tarehe 28 huko Mbagala, wilaya ya Temeke. Josephat Charo naye kuhusu anavyoiona hali jumla ya kampeni na kwanza anaelezea tathmini yake.