Rais wa Baraza la EU: Lengo hasa la Israel ni kuufanya uundwaji wa nchi ya Palestina usiwezekane
Rais wa Baraza la Ulaya Antonio Costa amesema hatua za kijeshi zinazochukuliwa na Israel huko Ghaza si suala tena la kujilinda na zinaonekana kuwa na lengo la kuufanya uundaji wa…