UN yatahadharisha: Al-Shabab bado ni tishio kubwa nchini Somalia na Kenya
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametahadrharishakatika ripoti yao wiki hii kwamba kundi lenye misimamo mikali la al Shabab lingali ni tishio kubwa hivi sasa kwa amani na uthabiti huko Somalia…