Waisraeli wakusanyika kusubiri mateka ‘huku Trump akisema’ Vita vimekwisha ‘Gaza
Hamas ina hadi saa sita saa za eneo (10:00 BST) kuwaachilia mateka waliosalia, huku Israeli ikiwa tayari kuwaachilia wafungwa 250 wa Palestina na wengine 1,700 waliozuiliwa kutoka Gaza.