Nchi hizi 5 Afrika mafuta huuzwa kwa bei ya ‘chapati’
Mataifa haya, mafuta ni bei rahisi kiasi kwamba bei hiyo unaweza kununua chapati, na kwa baadhi ya nchi bei yake ni ndogo kuliko bei ya andazi au kitumbua.
Mataifa haya, mafuta ni bei rahisi kiasi kwamba bei hiyo unaweza kununua chapati, na kwa baadhi ya nchi bei yake ni ndogo kuliko bei ya andazi au kitumbua.
Je, ni miungano gani maarufu zaidi ya kijeshi kwa sasa inayolinda usafiri wa baharini katika eneo la Mashariki ya Kati?
Nchini Uganda, watu zaidi ya 100 wamewekwa karatini, baada ya kushukiwa kuambukizwa virusi vya Ebola, wakati huu serikali ikiweka mikakati ya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo, baada ya watu wawili…
Hezbollah ya Lebanon imeongeza matumizi yake ya ndege zisizo na rubani za "first-person" (FPV) kushambulia Israel, ikiwa ni pamoja na mifumo inayoongozwa na nyaya za fiber-optic ambazo zinaweza kupita mifumo…
Iwapo, kama inavyotarajiwa, Pep Guardiola ataondoka Manchester City mwishoni mwa msimu huu, atafanya hivyo akiwa mmoja wa makocha wenye mafanikio na ushawishi mkubwa katika historia ya Premier League.
Save the Children ilisema mlipuko wa Ebola ni "mgogoro mpya mkubwa juu ya hali ambayo tayari ni ngumu".
Wakati zikiwa zimesalia takribani wiki tatu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 kung’oa nanga kwenye mataifa ya Marekani, Canada na Mexico, RFI Kiswahili tunazimulika timu zinazopewa nafasi ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio anaikosoa shirika la Afya Duniani, WHO, kwa “kuchelewa” kutambua mlipuko wa virusi vya Ebola unaoikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Imechapishwa:…
Hukumu dhidi ya afisa wa zamani wa idara ya ujasusi anayeshtakiwa kwa kuuza taarifa kwa Urusi inatarajiwa leo Jumatano katika kesi ambayo imechafua sifa ya Austria. Imechapishwa: 20/05/2026 – 08:54…
Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Urusi Vladimir Putin wamethibitisha leo Jumatano nguvu ya uhusiano kati ya mataifa hayo mawili licha ya msukosuko wa kimataifa, chini ya wiki…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu imefungua vikao vya mashtaka kwa Khaled Mohamed Ali el-Hishri, mmoja wa makamanda wa gereza la Mitiga nchini Libya. El-Hishri anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi…
Wabunge wa Bunge la Ulaya na nchi wanachama wa EU wamefikia makubaliano ya muda ya kutekeleza makubaliano ya biashara yaliyohitimishwa msimu uliopita wa joto na Marekani, ofisi ya rais wa…
Maandamano ya hivi karibuni dhidi ya serikali nchini Bolivia ni “mapinduzi ya umma,” Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametangaza siku ya Jumanne, akielezea uungaji mkono wake kwa…
Wakazi wa mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameanza miongozi ya kukabiliana na kuenea kwa virusi vya Ebola. Mkoa huu wa kaskazini mashariki ndio kitovu…
Hakuna visa zaidi zinazohitajika kuingia Togo. Raia wa nchi zote za Afrika sasa wameondolewa masharti ya visa kwa kukaa nchini humo hadi siku 30. Tangazo hili melitolewa katika taarifa rasmi.…
Kulingana na Rais wa Marekani, Donald Trump, ni kwa ombi la falme za Kiarabu za Ghuba kwamba vita kati ya Iran na Marekani bado havijaanza tena. Rais wa Marekani alitangaza…
Abigael Kendi, binti mwenye umri wa miaka 19, kutoka Kenya amezaliwa na mlango wa kizazi mara mbili, tumbo la uzazi mara mbili, uke mara mbili na figo moja.
Abigael Kendi, binti mwenye umri wa miaka 19, kutoka Kenya amezaliwa na mlango wa kizazi mara mbili, tumbo la uzazi mara mbili, uke mara mbili na figo moja.
Upinzani nchini DRC unajaribu kuungana dhidi ya marekebisho ya katiba. Mnamo Mei 6, 2026, wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Rais Félix Tshisekedi alifungua mlango wa muhula wa tatu…
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Olivier Nduhungirehe, amesema nchi ya Msumbiji imefanikiwa kupata fedha kwa ajili ya vikosi vya Kigali vilivyoko nchini humo kuendelea na operesheni za kijeshi…
Nigeria na Marekani zimedai kutekeleza mashambulio ya pamoja yaliyoua zaidi ya wanajihadi wa kiislamu 175 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, akiwemo kiongozi wa pili wa juu wa kundi la Islamic…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amekutana na Rais wa China Xi Jinping siku chache tu baada ya ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump.
Katika miaka ya hivi karibuni, nchi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Ethiopia, Zambia, Zimbabwe, Lesotho, Somalia, Mauritania na São Tomé na Príncipe, zimeweka masharti ya viza kwa raia wa Nigeria
Rais wa Nigeria Bola Tinubu alithibitisha tarehe 16 Mei kifo cha afisa mkuu wa Islamic State (IS), Abu Bilal al-Manuki (au al-Mainuki), wakati wa operesheni ya pamoja ya kijeshi na…
BBC inaangazia matukio muhimu yaliyosaidia kubadilisha Arsenal kutoka timu iliyokuwa inabezwa kwa kuukaribia ubingwa na mwishoni kupote hadi kuwa mabingwa wa ligi.
Baada ya miaka 22 ya kusubiri, hatimaye Arsenal wamerejea rasmi kileleni mwa soka la England baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL) msimu wa 2025/26.
Watu 69 nchini Madagascar wamelazwa hospitalini baada ya kula chakula chenye sumu mwishoni mwa wiki iliyopita katika mji mkuu wa nchi hiyo Antananarivo. Hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini tukio hilo linaibua…
Droo ya mechi ya michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2027) imefanyika leo Jumanne, Mei 19, jijini Cairo, na Makundi ya timu za soka zitakazoshiriki michuano ya Kombe…
Nchini Sudan, Abu Lu Lu, kamanda mkuu wa vikosi vya wanamgambo wa RSF, ambaye alipewa jina la utani la mchinjaji wa El-Fasher, amerudi mstari wa mbele. Kamanda huyu wa FSR…
Nchini DRC, visa vya kwanza vilivyorekodiwa vya Ebola Bundibugyo huko Ituri vilianza Aprili 15, 2026. Mlipuko wa ugonjwa huo haukuthibitishwa rasmi hadi Mei 14. Kulingana na vyanzo mbalimbali, kuchelewa huku…
Urusi imetangaza jaribio la mafanikio la kombora la masafa marefu la Sarmat.
Nchini Afghanistan leo, idadi ya kutisha ya watu watatu kati ya wanne hawawezi kumudu mahitaji yao ya msingi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin anafanya ziara nchini China leo Jumanne kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, siku chache tu baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuzuru Beijing.Ingawa…
Chama cha mrengo wa kushoto, PAICV, kimeshinda uchaguzi, huku Waziri Mkuu Ulisses Correia e Silva, kiongozi wa Movement for Democracy (MpD), akikubali kushindwa. Mpito mpya wa kisiasa unakaribia Cape Verde,…
Maisha binafsi ya mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa kisiasa barani Afrika yamefichuliwa katika mahojiano maalum ya kipekee ya BBC World Service.
Waziri wa Sheria wa Ufaransa Gérald Darmanin amehitimisha ziara yake kaika mji mkuu wa Algeria, Algiers jana, Jumatatu, Mei 18, baada ya kukutana mapema siku hiyo na mwenzake wa Algeria,…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu inachunguza uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanywa dhidi ya wahamiaji waliozuiliwa nchini Libya. Mmoja wa wakuu wa zamani wa gereza la Mitiga, karibu na Tripoli, Mohammed…
Nigeria na Marekani zimefanya operesheni mpya dhidi ya kundi la Islamic State kaskazini mashariki mwa Nigeria, ambapo uasi wa wanajihadi umekuwa ukiendelea kwa miaka kumi na saba. Imechapishwa: 19/05/2026 –…
Mashariki mwa DRC, maambukizi hatari ya virusi vya Ebola, yameendelea kuzua hofu ya kusambaa zaidi, wakati huu idara za afya nchini humo zikisema watu zaidi ya 100 wamethibitishwa kufa kutokana…
Nchini Kenya, watu wanne wameuawa na zaidi ya thelathini kujeruhiwa siku ya Jumatatu, Mei 18, wakati wa vurugu zilizoshuhudiwa siku ya mgomo wa usafiri wa umma na maandamano ya kupinga…
Mlipuko wa Ebola katika Democratic Republic of the Congo unahusisha aina adimu ya virusi na unatokea katika eneo lililoathiriwa na migogoro.
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Jumatatu, Mei 18, kwamba amesitisha shambulio dhidi ya Iran lililokuwa limepangwa kufanyika Jumanne, Mei 19, kujibu ombi la viongozi wa nchi za…
Serikali na wamiliki wa magari ya abiria nchini Kenya, wameshindwa kufikia makubaliano kuhusu kusitisha mgomo wa usafiri wa uma, wakati huu watu wanne wakiripotiwa kupoteza maisha hapo jana wakati wa…
Marekani imetangaza Jumatatu, Mei 18, 2026, udhibiti mkali kwenye mipaka yake ili kupambana na virusi vya Ebola, ambavyo vimemwambukiza raia wa Marekani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Vituo vya…
Nchini Uganda, mamlaka za afya ziko katika tahadhari kubwa kufuatia kuthibitishwa kwa wagonjwa wawili walioambukizwa Ebola, mgonjwa mmoja amefariki, baada ya kuambukizwa aina ya virusi vya Ebola iliyotangazwa mashariki mwa…
Wataalamu wameonya kuwa dunia inazidi kuwa dhaifu kutokana na milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, wakati huu mamlaka za afya katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda zikijitahidi kudhibiti mlipuko…
Donald Trump amesema amesitisha operesheni za kijeshi kwa siku mbili au tatu dhidi ya Iran ili kutoa nafasi kwa mazungumzo kufanyika pamoja na mashauriano na viongozi wa eneo hilo ikiwemo…
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuunda tume nyingine maalumu ya jinai itakayochunguza matukio ya vurugu yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka jana. Imechapishwa: 19/05/2026…
Chini ya saa mbili baada ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel kuthibitisha rasmi ziara yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na kukutana na Mohammed bin Zayed, Rais…
Iran kupitia Wizara yake ya Mambo ya nje, imesema mazungumzo na Marekani yanaendelea kupitia Pakistan ambaye ni mpatanishi kwa lengo la kupata mkataba wa kudumu, ili kumaliza vita vya Mashariki…