Dkt. Mwinyi: Tusikubali siasa za chuki
Dkt. Mwinyi ameahidi kujenga uwanja wa michezo kisiwani humo ili kukuza vipaji vya vijana.
Dkt. Mwinyi ameahidi kujenga uwanja wa michezo kisiwani humo ili kukuza vipaji vya vijana.
Jimmy Kimmel amesema kusimamishwa kwa show yake baada ya shinikizo la utawala wa Trump kumeweka “mstari mwekundu” wa kulinda uhuru wa maoni nchini Marekani. Show yake ilisitishwa kufuatia utani wake…
Umoja wa Mataifa utalazimika kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani duniani kote kwa karibu asilimia 25.
Kansela Friedrich Merz ataongoza kikao cha dharura na viongozi wa sekta ya magari ya Ujerumani kujadili hatma ya viwanda vinavyoyumba, marufuku ya injini za mwako ifikapo 2035, ushindani kutoka China…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atamteua waziri mkuu mpya katika kipindi cha saa 48 zijazo.
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer atakutana na waziri mkuu wa India, Narendra Modi mjini Mumbai. Viongozi hao wanatarajiwa kuzungumzia uhisiano na Vladimir Putin.
Uingereza ni mwenyeji wa mkutano unaohusu usalama na uhalifi wa wahamiaji katika eneo la Balkan Magharibi.
Misri imefuza kwa mashindano ya kombe la dunia la kandanda 2026 kwa kukandika Djibouti 3-0 Casablance.
Israel na Hamas wametia saini awamu ya kwanza ya mpango wa amani ya Gaza. Rais wa Marekani Donald Trump alisema hii ina maana kwamba mateka wote wataachiliwa hivi karibuni na…
Rais wa Marekani Donald Trump asema Isreal na Hamas wamesaini awamu ya kwanza ya mkataba wa amani wa Gaza. Umoja wa Mataifa kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani duniani kote.…