Rais wa Marekani Donald Trump asema Isreal na Hamas wamesaini awamu ya kwanza ya mkataba wa amani wa Gaza. Umoja wa Mataifa kupunguza vikosi vyake vya kulinda amani duniani kote. Na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kumteua waziri mkuu mpya saa 48 zijazo.