Ijumaa, 19 Septemba, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 26 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 19, 2025 Miladia.
Ushirikiano wa Iran na Saudi Arabia kwenye njia ya kusaidiana na utaratibu mpya wa kikanda
Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia wamekutana mjini…
Pezeshkian: Ushirikiano wa “mafanikio” wa Iran na Russia unaashiria mwisho wa zama za uchukuaji hatua za upande mmoja
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kigezo "kilichofanikiwa" cha ushirikiano kati ya nchi huru, zikiwemo na Iran na Russia, utathibitisha kwamba zama za uchukuaji hatua za…
Askari wanne wa utawala wa kizayuni waangamizwa, wanane wajeruhiwa kusini mwa Ghaza
Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa wanajeshi wanne wa utawala wa kizayuni wa Israel wameangamizwa na wengine wanane wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu lililotegwa ardhini kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
Mayahudi wa Othodoksi waanza kuandamana New York dhidi ya Netanyahu kabla hajaelekea UN
Mamia ya Wayahudi wa madhehebu ya Othodoksi wamefanya maandamano katika jiji la New York kupinga ushiriki wa waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu katika mikutano ya…
Balozi wa Marekani Israel: Israel ndiye mshirika wetu pekee wa kweli katika eneo la Mashariki ya Kati
Balozi wa Marekani katika utawala wa kizayuni wa Israel, Mike Huckabee amesema, 'pamoja na Washington kuwa na washirika na marafiki kadhaa katika eneo la Mashariki ya Kati, "Israel ndiye mshirika…
Uingereza inamngojea Trump amalize ziara yake ndipo itangaze kulitambua Dola la Palestina
Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama Dola mwishoni mwa wiki hii baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhitimisha ziara yake ya kiserikali nchini humo. Hayo yamefichuliwa na gazeti la The…
Financial Times: EU inapanga kuzitumia yuro bilioni 170 fedha za Russia inazozishikilia
Gazeti la Financial Times limeripoti kuwa Umoja wa Ulaya (EU) umeamua kutekeleza mpango wa kuzitumia yuro bilioni 170 milki za Russia inazozishikilia kurudisha "mikopo ya fidia" kwa Ukraine.
Je, nchi za Kiislamu zinaunda jeshi la pamoja dhidi ya Israel?
Wazo la kuunda muungano wa kijeshi kama NATO kati ya nchi za Kiarabu limekuwepo kwa muda mrefu, lakini wataalam hanatilia shaka utekelezwaji wake.
Araqchi: Nchi za Ulaya zinapasa kuonyesha nia ya dhati na ya kweli katika diplomasia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi jana amezungumza kwa simu na Mawaziri wenzake wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Ujerumani na Uingereza na pia na mwanadiplomasia wa…
Eslami: Vitisho vya maadui vinaendelea; hali ya kuaminiana na IAEA inapasa kujengwa upya
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema vitisho kutoka kwa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu vinaendelea tangu kujiri mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya vituo vya…
Israel yashadidisha mauaji dhidi ya wakazi wa Gaza; mashinikizo ya kimataifa yaongezeka dhidi yake
Idadi ya vifo vya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza inaendelea kuongezeka huku mashambulizi ya kijeshi na mauaji ya kimbari ya Israel yakiingia mwaka wa pili sasa, na hivyo kuzidisha ukosoaji…
UNHCR: Karibu wakimbizi 61 wa Sudan wamefariki dunia katika ajali ya boti Libya
Boti iliyokuwa ikiwasafirisha wahamiaji 74 ilipatwa na maafa katika pwani ya Libya, na kusababisha vifo vya wahamiaji 61. Taarifa hii imetolewa na Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa(…
Maelfu waandamana London kupinga ziara ya Trump nchini Uingereza
Maelfu ya wakazi wa jiji la London wameandamana kupinga ziara ya kiserikali ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Uingereza na kumtaja kama kiongozi mbaguzi na mpenda mabavu. Wafanya maandamano…
Jenerali: Uwezo wa Iran wa kivita unawazuia maadui kuanzisha mashambulizi mapya
Mkuu wa Majeshi ya Iran, Meja Jenerali Abdolrahim Mousavi, amepongeza kuimarika kwa uwezo wa kujihami wa taifa , akisisitiza kuwa utayari wa Iran wa kivita umezuia maadui kuanzisha duru mpya…
Iran yayataja kuwa ya kipuuzi madai ya Marekani kuhusu mpango wake wa makombora
Iran imetaja kuwa ya kipuuzi madai ya Marekani kuhusu ustawi wake katika sekta ya makombora, ikielezea mpango huo kuwa wa kujihami dhidi ya mashambulizi ya Marekani na Israel.
“Sijaishi na mume wangu kwa miaka 15, lakini bado tupo kwenye ndoa yenye furaha”
"Inaweza kuwasaidia watu kujisikia kuwa, ingawa nimeoa au kuolewa, bado nina nafasi yangu, maisha yangu, na ninakutana na mwenzi wangu kwa wakati tunaokubaliana wote,"Mtaalam asema.
Alhamisi, 18 Septemba, 2025
Leo ni Alhamisi tarehe 25 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 18, 2025.
Wabunge wa UK: Vikosi vya kijeshi vitakavyoongozwa na UN vipelekwe Ghaza kuzuia mauaji ya kimbari
Wabunge watano wa Uingereza wamemwandikia barua waziri wao wa mambo ya nje Yvette Cooper wakiitaka serikali ya London "ifuatilie kwa dharura uingiliaji kati wa kijeshi utakaoongozwa na Umoja wa Mataifa"…
Katibu Mkuu wa UN: Ulimwengu umegawanyika kimataifa wakati huu wa kufanyika UNGA80
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito kwa viongozi wa dunia “kuwa makini na kutekeleza ahadi” wanapowasili jijini New York kwa ajili ya wiki ya ngazi ya…
Papa asema, Wapalestina wanahamishwa ‘kwa mara nyingine tena’ katika ardhi yao, ataka vita vya Ghaza vikomeshwe
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV amesema Wapalestina wanaishi katika "mazingira yasiyokubalika" huku wakihamishwa kwa nguvu katika Mji wa Ghaza, wakati huu wa mashambulizi makubwa yanayoendelea kufanywa na…
CEDAW: Nigeria ina dhima ya ukiukaji mkubwa na wa kimfumo wa haki za wanawake waliotekwa nyara
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi Dhidi ya Wanawake (CEDAW) imesema, serikali ya Nigeria inawajibika kwa ukiukaji mkubwa na wa kimfumo wa haki za wanawake na wasichana katikati…
Kiongozi wa Mapinduzi aipongeza timu ya miereka kwa kutwaa ubingwa wa dunia
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameipongeza timu ya taifa ya Iran ya mchezo wa miereka ya freestyle kwa kutwaa taji la ubingwa wa dunia katika…
Yemen yakosoa vikali Mkutano wa Doha kwa kushindwa kuchukua hatua kali dhidi ya Israel
Serikali ya Yemen imekemea vikali viongozi wa Kiarabu na Kiislamu kwa kushindwa kuchukua hatua za kivitendo katika kuunga mkono Palestina na kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni, ikisisitiza kuwa…
Kwa nini nchi hii ina idadi kubwa ya wanawake walio na zaidi miaka 100?
Idadi ya vikonggwe iliongezeka hadi 99,763 mwezi Septemba, huku wanawake wakichangia idadi hiyo kwa hadi 88%. Hii inatokana na nini na kwanini baadhi ya watu wanatilia shaka takwimu hizi?
Uchaguzi wa Zanzibar bila Maalim Seif, CCM ina upinzani wa aina gani?
Maalim Seif katika kila hatua, aliibeba Zanzibar kwenye majukwaa ya siasa za upinzani kitaifa na kimataifa.
Kwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifa
Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kwa mara ya kwanza hadharani kwamba utawala huo ghasibu unatumbukia kwenye lindi la “kutengwa,” wakati mashinikizo ya kimataifa yakiwa…
Uhispania itasusia Eurovision ikiwa Israel itashiriki, RTVE yatangaza
Uhispania haitashiriki katika mashindano ya Eurovision “ikiwa Israel itaendelea kushiriki katika tamasha la muziki huku mauaji ya watu wengi huko Gaza yakiendelea,” shirika la utangazaji la RTVE limetangaza leo Jumanne,…
Iran yatwaa taji la ubingwa wa dunia wa Miereka 2025, yaziacha nyuma Russia na Marekani
Timu ya taifa ya mchezo wa miereka aina ya Freestyle ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Dunia ya Miereka ya mwaka 2025 yanayofanyika mjini…
Israel yaanzisha operesheni ya ardhini Gaza City
Jeshi la Israel limeishambulia Gaza City kutoka ardhini usiku wa kuamkia leo huku vikosi vyake vikitanua operesheni hizo katika ngome ya wanamgambo wa Hamas katikati ya mji huo. Jeshi hilo…
Wataalam wa UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza
Ripoti hiyo, iliyotolewa Septemba 16, 2025, imesema Israel imefanya vitendo vinne kati ya vitano vinavyotambuliwa kimataifa kama mauaji ya kimbari, katika mzozo wake na Hamas ikiwemo: Kuua raia kwa makusudi,…
Zelensky asema Urusi imerusha droni 3,500 mwezi Septemba
Rais Volodymyr Zelensky ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa X na kuongeza kuwa kumekuwa pia na visa vya uchokozi wa Urusi dhidi ya washirika wa Ukraine. Zelensky ameendelea kuwatolea wito…
Lissu agoma, ataka wanaCHADEMA waruhusiwe kuingia mahakamani
Vuta nikuvute imeshuhudiwa kwenye Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dar es Salaam nchini Tanzania baada ya Lissu kuiomba mahakama iahirishe kesi hiyo hadi pale wafuasi wake watakaporuhusiwa. Leo Jumanne Lissu…
Ghaza yaandamwa na mashambulio ya kiwendawazimu ya Wazayuni, wanakaribia kuikalia kikamilifu
Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limeanzisha mashambulizi makali ya anga dhidi ya Mji wa Ghaza kwa saa kadhaa, ambapo mbali na kuwaua shahidi Wapalestina kadhaa linateketeza pia majengo…
UN: Viongozi wa Sudan Kusini wapora mali ya nchi
Miongoni mwa uporaji uliotajwa ni kulipa dola bilioni 1.7 kwa makampuni yanayohusishwa na Makamu wa Rais Benjamin Bol Mel kwa ujenzi wa barabara ambayo haijawahi kufanyiwa kazi yoyote. Kulingana na…
Donald Trump afanya ziara rasmi Uingereza
Mkataba huo utaonesha kuwa ushirikiano wa Marekani na Uingereza unasalia kuwa imara licha ya tofauti kuhusu mizozo ya Ukraine, Mashariki ya kati na pia kuhusu mustakabali wa miungano ya nchi…
Trump awasili Uingereza kwa ziara ya pili ya kifalme
Ziara ya Trump inafanyika wakati vita vinaendelea Ukraine na Mashariki ya Kati, mataifa makubwa yakikabiliana na ushuru wa Marekani, na hii leo Uingereza ina matumaini kuwa maonesho ya kifalme yaweza…
Je, Israel inakabiliwa na tatizo la ‘kutengwa’ kama ilivyofanyika Afrika Kusini?
Je, Israel inakaribia "wakati wa Afrika Kusini", wakati mchanganyiko wa shinikizo la kisiasa, kiuchumi, michezo na kususia utamaduni ulisaidia kulazimisha Pretoria kuachana na ubaguzi wa rangi?
Jumanne, 16 Septemba 2025
Leo ni Jumanne tarehe 23 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 16, 2025. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Rushwa iliyokithiri Sudan Kusini inatishia ustawi wa taifa hilo
Tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, yatoa wito kwa idara za uchunguzi nchini Kenya, kuchunguza tuhuma za rushwa na utakatishaji fedha dhidi ya makamu…
Rais wa Iran azitahadharisha nchi za Kiislamu Doha: Hakuna nchi itakayokuwa salama na uchokozi wa Israel
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi ya Israel ya Septemba 9 dhidi ya Qatar yameonyesha kuwa hakuna nchi ya Kiarabu au ya Kiislamu iliyo salama…
Gaza: Uchunguzi wa Umoja wa Mataifa unaishutumu Israel kwa ‘mauaji ya kimbari’
Tume huru ya kimataifa ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imeishutumu Israel leo Jumanne, Septemba 16, kwa kufanya “mauaji ya halaiki” katika Ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa vita mnamo…
Simbu alivyojitabiria kutwaa dhahabu miaka 8 iliyopita
Chanzo cha picha, Getty Images 15 Septemba 2025 Mara ya kwanza aliposhika viatu vya riadha akiwa kijana mdogo huko Singida, hakuwahi kudhani kwamba baada ya miaka miwili baadaye angekuwa shujaa…
Kwanini shida ya Man Utd sio mfumo ila ‘watu binafsi’
Chanzo cha picha, BBC Sport 15 Septemba 2025 Ninahisi kama najirudia kila ninapozungumzia matatizo ya Manchester United lakini mambo yale yale yanaendelea kutokea. Wanafanya makosa yale yale, na hata si…
Ripoti: Ulanguzi wa dawa za kulevya Afrika Magharibi waambatana na matumizi yasiyodhibitiwa
Eneo la Afrika Magharibi linakabiliwa na ulanguzi mkubwa wa dawa za kulevya unaoambatana na matumizi yasiyodhibitika. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
BBC Africa Eye: Mtandao wa biashara haramu ya ngono unaoendeshwa kutoka Dubai wafichuliwa na BBC
Maelezo ya picha, Charles Mwesigwa – anayejulikana kwa jina la Abbey – anasema wanawake wanaomfanyia kazi ni machachari sana Maelezo kuhusu taarifa Author, Runako Celina Nafasi, BBC Eye Investigations 15…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Asasi za kiraia zatoa wito kwa makampuni ya Ulaya kuacha kufanya biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Zaidi ya mashirika 80 yasiyo ya kiserikali (NGOs) yamezitaka nchi na makampuni ya Ulaya kuacha kufanya biashara na vitongoji haramu vinavyojengwa na utawala ghasibu wa Israel katika Palestina inayokaliwa kwa…
Marekani yashambulia tena boti ya Venezuela inayotuhumiwa kwa ‘usafirishaji wa dawa za kulevya’
Mvutano unaongezeka kati ya Washington na Caracas baada ya shambulio lingine la Marekani dhidi ya meli ya Venezuela katika Bahari ya Caribbean. Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa jeshi…
Je, vijana wako tayari kuchukuwa nafasi yao katika uongozi wa kitaifa Afrika Mashariki?
Chanzo cha picha, GP Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Laillah Mohammed Nafasi, BBC Swahili X, @leilakhatenje Akiripoti kutoka Nairobi Kenya Dakika 20 zilizopita Ni msimu wa siasa za uchaguzi katika…