85′ | #RSL
85' | #RSL Al Taawoun 1-2 Al Ahli LIVE #AzamSports2HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia (Feed generated with FetchRSS)
MAPUMZIKO | #SerieA
MAPUMZIKO | #SerieA HT: Napoli 1-2 Bologna LIVE #AzamSports3HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #NapoliBologna (Feed generated with FetchRSS)
25ā | #SerieA
25ā | #SerieA Napoli 0-1 Bologna LIVE #AzamSports3HD #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #NapoliBologna (Feed generated with FetchRSS)
AZAM FC: Baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa TRA United, Azam FC sasa yaanza kuipigia hisabati Pamba Jiji FC kuelekea mchezo wa…
AZAM FC: Baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa TRA United, Azam FC sasa yaanza kuipigia hisabati Pamba Jiji FC kuelekea mchezo wao utakaopigwa Mei 14 kwenye Dimba la Azam Complex,…
MAPUMZIKO | #RSL
MAPUMZIKO | #RSL HT: Al Taawoun 0-1 Al Ahli LIVE #AzamSports2HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlTaawoun#AlAhli (Feed generated with FetchRSS)
CCTV yanasa kisa cha kutatanisha ndani ya afisi moja Nairobi wakati wa chakula cha mchana
Picha za CCTV zilifichua jamaa akiingia katika ofisi moja jijini Nairobi wakati wa chakula cha mchana, jambo lililosababisha watu mitandaoni kushinikiza atambuliwe.
CCTV yaanasa kisa cha kutatanisha ndani ya afisi moja Nairobi wakati wa chakula cha mchana
Picha za CCTV zilifichua jamaa akiingia katika ofisi moja jijini Nairobi wakati wa chakula cha mchana, jambo lililosababisha watu mitandaoni kushinikiza atambuliwe.
Wadau kilimo wapewa elimu kutambua athari tabianchi
DODOMA: Shirika la AGRA limeanza kutoa mafunzo maalum ya uchambuzi wa hatari za tabianchi kwa wadau wa sekta ya kilimo nchini, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kusaidia Tanzania kujenga…
Mvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka tena baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kukataa masharti yaliyowekwa na Iran ka…
Mvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka tena baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kukataa masharti yaliyowekwa na Iran kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu madini yake ya urani yaliyorutubishwa.…
Zaidi ya kaya maskini 172,000 zimesajiliwa kunufaika na Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza ya utekelezaji wa …
Zaidi ya kaya maskini 172,000 zimesajiliwa kunufaika na Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza ya utekelezaji wa sheria ya bima ya afya kwa wote, iliyoanza…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limethibitisha kupokea taarifa ya kifo cha mwanamke aliyefahamika kwa jina la Aisha …
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limethibitisha kupokea taarifa ya kifo cha mwanamke aliyefahamika kwa jina la Aisha Miraji mkazi wa Nzasa Temeke. Mwili wa marehemu ulipatikana ukiwa…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kuiongezea mtaji Bohari ya (MSD), ili iweze kujiende…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kuiongezea mtaji Bohari ya (MSD), ili iweze kujiendeaha na kuokoa Wanzania. "Serikali itoe mtaji wa Sh300 bilioni…
Wakati Jumamosi wiki hii chama cha ACT-Wazalendo kikitarajia kutoa msimamo wake kuhusu ushiriki wake katika Serikali ya Umoja wa…
Wakati Jumamosi wiki hii chama cha ACT-Wazalendo kikitarajia kutoa msimamo wake kuhusu ushiriki wake katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), wadau mbalimbali wametoa maoni mseto kuhusu umuhimu wa serikali…
Menejimenti ya Wizara ya Nishati imetembelea mradi wa kimkakati wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chon…
Menejimenti ya Wizara ya Nishati imetembelea mradi wa kimkakati wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga nchini Tanzania wa EACOP (East African Crude Oil Pipeline)…
Mkazi wa jiji la Mwanza Mzavari Faisal Yunus ameuawa akiwa bar baada ya kushindwa kulipa TSh elfu nane ya pombe aliyotumia
Mkazi wa jiji la Mwanza Mzavari Faisal Yunus ameuawa akiwa bar baada ya kushindwa kulipa TSh elfu nane ya pombe aliyotumia. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron awafokea waliokuwa wakipiga kelele katika mkutano wa Africa Forward
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alihutubia kwa uthabiti waliohudhuria mkutano wa Africa Forward Summit, akihimiza heshima wakati wa mijadala ya kitamaduni
Mzize avalishwa viatu vya John Bocco
ISINGEKUWA majeraha yaliyomuweka nje mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize, alikuwa anapigiwa hesabu za kuwa mbadala sahihi wa John Bocco katika ufungaji wa mabao Ligi Kuu Bara sambamba na kuisaidia timu…
Dakika 720 bila hat trick, mastraika wataja sababu
WAKATI zikibaki raundi nane sawa na dakika 720 kumalizika kwa Ligi Kuu msimu wa 2025-2026, maajabu yameonekana kwa kukosa mchezaji aliyefunga mabao matatu katika mchezo mmoja (hat trick), ikilinganishwa na…
Umoja wa Mataifa wazindua mradi wa upanuzi katika makao makuu yake ya Nairobi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres na Rais wa Kenya William Ruto wamezindua mradi wa upanuzi wa dola milioni 340 kwa Ofisi ya Umoja wa Mataifa jijini Nairobi…
Mataifa waandaji AFCON 2027 yasaini azimio la pamoja
Nchi waandaji wa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2027 (AFCON 2027) wamesaini hati ya makubaliano ya pamoja inayojulikana kama CAF Joint Resolution ā TotalEnergies AFCON PAMOJA 2027.
INEC yateua 17 kumrithi Lukuvi ubunge Isimani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua makada 17 kutoka kwenye vyama mbalimbali vya siasa...
Wiki hii ‘trend’ kubwa kwenye fashion imekuwa ni ubunifu wa mfanyabiashara na mtu maarufu nchini Nigeria, Queen Mercy Atang baad…
Wiki hii 'trend' kubwa kwenye fashion imekuwa ni ubunifu wa mfanyabiashara na mtu maarufu nchini Nigeria, Queen Mercy Atang baada ya kuvaa gauni lililotengenezwa kwa mikate 500. Swali kubwa limekuwa…
Wananchi Shinyanga wahamasishwa ulipaji kodi pango la ardhi
SHINYANGA: Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Shinyanga, Leo Komba ametoa wito kwa wawekezaji pamoja na wananchi kuhakikisha wanalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kuendelea…
Singida, JKT, TRA kupigania nafasi nne za juu Ligi Kuu
HESABU kali zinapigwa na makocha pamoja na wachezaji katika mechi za Ligi Kuu Bara zinazotarajiwa kuchezwa mikoa tofauti leo Jumanne, ambapo Singida Black Stars itakuwa nyumbani dhidi ya Namungo kwenye…
Mechi za nafasi Ligi Kuu Bara
HESABU kali zinapigwa na makocha pamoja na wachezaji katika mechi za Ligi Kuu Bara zinazotarajiwa kuchezwa mikoa tofauti leo Jumanne, ambapo Singida Black Stars itakuwa nyumbani dhidi ya Namungo kwenye…
Mtoto adaiwa kunyongwa Arusha, familia yasimulia
Tukio hilo limetokea juzi Mei 9, 2026 saa 2 usiku.
Rais wa Jumuiya ya Serikali za Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amewatahadharisha vijana ko…
Rais wa Jumuiya ya Serikali za Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amewatahadharisha vijana kote Nchini kuhusu hatari ya kupuuza au kuchezea amani ya taifa,…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema Serikali imeendelea kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji yanayowezesha se…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema Serikali imeendelea kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji yanayowezesha sekta binafsi kuchangia maendeleo ya uchumi na utoaji wa ajira nchini. Akizungumza…
Rais wa DRC yuko Uganda kuimarisha ushirikiano wa pande mbili
Rais wa DRC FĆ©lix Tshisekedi yuko Kampala leo kwa sherehe mbili tofauti: kumalizika kwa kikao cha 9 cha Kamati ya Pamoja ya Kudumu ya DRC-Uganda na, Mei 12, kuapishwa kwa…
Mkutano wa Africa Forward: Macron atangaza euro Bilioni 23 za uwekezaji kwa Afrika
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza leo Jumatatu, Mei 11, uwekezaji wa euro Bilioni 23 kwa Afrika, ikiwa ni pamoja na euro Bilioni 14 katika uwekezaji wa kibinafsi na wa…
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imetoa wito kwa wananchi kuwa walinzi wa kwanza wa miundombinu ya miradi ya kufikisha umeme vijij…
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imetoa wito kwa wananchi kuwa walinzi wa kwanza wa miundombinu ya miradi ya kufikisha umeme vijijini inayotekelezwa na serikali, huku ikieleza kusikitishwa na matukio ya…
Wasamaria Wema wa Kericho Wachanga KSh 13 Milioni kwa Matibu ya Gavana wa Zamani
Viongozi wa Kericho pamoja na wafadhili wamechanga KSh milioni 13 kwa ajili ya aliyekuwa Gavana Paul Chepkwony, ambaye anatarajiwa kusafiri kwenda India kwa matibabu
SERIKALI inatarajia kuzindua mpango mkakati wa mageuzi ya mazingira endelevu (2026ā2030) unaolenga kukabiliana na changamoto za …
SERIKALI inatarajia kuzindua mpango mkakati wa mageuzi ya mazingira endelevu (2026ā2030) unaolenga kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na kuimarisha usimamizi wa mazingira nchini. Waziri wa Nchi, Ofisi…
Ishu ya dawa vyumbani… Shida iko hapa! Yanga, Simba, Azam zafunguka
HAKUNA msimu unakosa kusikia kauli hii āKlabu fulani imegoma kutumia vyumba vya kubadilishia nguo na kukaa eneo lingine.ā
Kamati yaitaka SMZ kuwashirikisha wananchi kwenye miradi ya maendeleo
Wakala wa Ulinzi wa JKU na Mamlaka za Serikali za Mitaa Sh405.196 bilioni kwa matumizi ya kazi...
Mchambuzi wa sera azungumzia changamoto ya maji
Msomi na mchambuzi wa sera za kiuchumi, Aurelia Kamuzora amesema changamoto ya upotevu wa maji na uchakavu wa miundombinu nchini inaweza kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo sekta binafsi itapewa nafasi…
TRA advocates tech-driven customs to tackle tax evasion
ZANZIBAR: THE Tanzania Revenue Authority (TRA), Commissioner General, Mr Yusuph Mwenda, has underscored the importance of continued investment in modern customs systems, anti-smuggling equipment, and cross-border information sharing to enhance…
Wawili wafariki, 12 wajeruhiwa ajali ya basi na lori Iringa
Kwa mujibu wa Dk Mwakalebela, majeruhi wengi ni raia wa kigeni, ambapo wanne ni kutoka Zambia...
EAC states urged to strengthen solidarity in maintaining peace and security
NAIROBI: THE 14th EAC Armed Forces Command Post Exercise( Ushirikiano Imara 2026), Head of Mission,Ambassador Lindsay Kiptiness has called on East African Community (EAC) member states to continue strengthening unity,…
A Diplomatās long goodbye in Seoul, and a legacy that will endure
SEOUL: On a mild spring evening in Seoul, Togolani Mavura stood before a hall of dignitaries, colleagues and friends to deliver what he described, with characteristic understatement, as āa long…
The joint agreement for hosting AFCON 2027 signed
NAIROBI: THE host nations of the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON 2027) have signed a joint agreement known as the CAF Joint Resolution ā TotalEnergies AFCON PAMOJA 2027 on…
Nane kuchuana nusu fainali FA Cup, Zanzibar
TIMU nne za Unguja na zingine nne za Pemba zimetinga nusu fainali ya Kombe la FA Zanzibar kuwania ubingwa huo unaoshikiliwa na KMKM.
DSTV yajipanga Kombe la Dunia
DAR ES SALAAM: FAINALI za Kombe la Dunia 2026 zinatarajiwa kuvunja rekodi mpya duniani baada ya idadi ya timu kuongezeka kutoka 32 hadi 48 huku mechi zikiongezeka kutoka 68 hadi…
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 wamejeruhiwa wakiwemo raia wanane wa Zimbabwe na wanne wa Zambia, kufuatia ajali ya b…
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 13 wamejeruhiwa wakiwemo raia wanane wa Zimbabwe na wanne wa Zambia, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la Kampuni ya THE CLASSIC…
Yangaās Manager handed a three-match ban, fined 1m/- Ā for pushing Chama
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans manager, Walter Harson, has been handed a three-match ban and fined 1m/- for pushing Simba player Clatous Chama during the Mainland Premier League derby played…