#HABARI: Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Magharibi kati Tabora mchungaji Newto…
#HABARI: Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Magharibi kati Tabora mchungaji Newton Maganga ambaye amekuwa kivutio baada ya kuonekana kupitia mitandao ya kijamii…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Bukene lililopo mkoani Tabora kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), @JohnLuhende, amesema akipata…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Bukene lililopo mkoani Tabora kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), @JohnLuhende, amesema akipata nafasi ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo atahakikisha anaboresha miundombinu ya barabara, Afya,…
🔴MEZAHURU: .MSAMAHA WA KODI YA KIFORODHA AGOSTI 31, 2025
🔴MEZAHURU: .MSAMAHA WA KODI YA KIFORODHA AGOSTI 31, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
Zaidi ya watu 800 wafa kwa tetemeko nchini Afghanistan
Kulingana na msemaji wa serikali ya Taliban, tetemeko hilo la ukubwa wa 6.0 katika kipimo cha richta limetokea Jumapili jioni na kuathiri miji kadhaa katika jimbo la Kunar, karibu na…
Vyama zaidi Tanzania vyazindua kampeni za uchaguzi
Vita ya kisiasa sasa rasmi imehamia majukwaani, vyama vikijaribu kuwashawishi wapiga kura katika uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani utakaofanyika oktoba 29. Mara baada ya kipyenga cha kampeni kupulizwa, Chama…
Wasomi: Israel inafanya mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Asilimia 86 ya wajumbe 500 wa Jumuiya hiyo waliopiga kura wameunga mkono azimio hilo linalosema “Sera na matendo ya Israel huko Gaza vimefikia kiwango cha kisheria cha mauaji ya kimbari,…
#HABARI: Katika kuboresha utendaji kazi na usimamizi wa masuala ya mipango miji nchini, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya M…
#HABARI: Katika kuboresha utendaji kazi na usimamizi wa masuala ya mipango miji nchini, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Idara ya Maendeleo ya Makazi inaendesha kikao kazi…
Rais Xi Jinping alaani “tabia za uonevu”
Xi amewatolea wito viongozi wa ushirika huo uliojikita kwenye masuala ya usalama kuheshimu usawa na haki na kuepuka fikra za Vita Baridi, ushindani wa makundi na tabia za uonevu. “Kwanza,…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
India na Urusi zakubaliana kuimarisha ushirikiano
Mazungumzo haya yanafanyika katikati ya mahusiano yaliyodhoofika kati ya New Delhi na Washington, kufuatia mvutano wa manunuzi ya mafuta ya Urusi. Viongozi hao wawili wamefanya mazungumzo baada ya kuhudhuria kikao…
Ukraine: Urusi imemuua spika wa zamani wa Ukraine
Andriy Parubiy, spika wa zamani wa bunge na kiongozi mkuu wa vuguvugu la maandamano ya Ukraine ya mwaka 2004 na 2014, aliuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa magharibi wa…
China kuongeza msaada kwa Jumuiya ya ushirikiano wa Shanghai
Rais wa China Xi Jinping ameahidi kuwa nchi yake itatoa msaada zaidi kwa ajili ya maendeleo bora ya Jumuiya ya ushirikiano wa Shanghai SCO. Ameyasema hayo akiuhutubia mkutano wa 25…
Tetemeko la ardhi Afghanistan, zaidi ya 800 waangamia
Akizungumza na waandishi wa Habari mapema Jumatatu katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, msemaji wa serikali ya Taliban nchini humo Zabihullah Mujahid, amesema takriban watu 800 wamekufa, na wengine 2,500…
Israel inafanya jinai ya kimbari Gaza
Miripuko mikubwa na milio ya risasi ilisikika kwenye eneo zima la Jiji la Gaza usiku wa kuamkia Jumatatu (Septemba 1), wakati jeshi la Israel likiendeleza mashambulizi yake kwenye jiji hilo…
Ruto atakiwa kutuma wanajeshi Mandera kuimarisha Usalama
Tangu vita viliporitiwa katika nchi jirani ya Somalia haswa eneo la Bula Hawa, idadi ya wakimbizi imekuwa ikiendelea kuongezeka katika jimbo la Mandera. Kulingana na gavana wa jimbo hilo Mohamed…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
#HABARI: Mtuhumiwa mmoja Bwana Moses Mungungulu mkazi wa Halmashauri ya mji Makambako mkoani Njombe amekamatwa na Shirika la Ume…
#HABARI: Mtuhumiwa mmoja Bwana Moses Mungungulu mkazi wa Halmashauri ya mji Makambako mkoani Njombe amekamatwa na Shirika la Umeme Tanzania-TANESCO mkoani Njombe akihujumu miundombinu ya shirika hilo ikiwemo kuchezea mita…
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
Liverpool vs Arsenal: Takwimu muhimu na kile kitakachoamua mechi ya leo
Chanzo cha picha, Getty Images 31 Agosti 2025 Liverpool imeibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Arsenal katika Anfield, ushindi uliopatikana kupitia mpira wa adhabu wa Dominik Szoboszlai…
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko eneo la Kichemuchemu, Kata ya Magomeni, wilay…
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko eneo la Kichemuchemu, Kata ya Magomeni, wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake…
#HABARI: Chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt
#HABARI: Chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania itaanza uchimbaji wa uranium katika Wilaya ya Namtumbo, Ruvuma, yenye akiba ya tani milioni…
#UCHAGUZI2025: Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua…
#UCHAGUZI2025: Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
Sudan: Mapigano yanapambapa moto al-Fasher, na kuzidisha mzozo wa kibinadamu
Nchini Sudan, takriban watu 19 wameuawa katika mashambulizi ya anga huko Darfur. Shambulio lililohusishwa na jeshi la Sudan kwenye kliniki ya Nyala, Darfur Kusini, lilisababisha vifo vya watu kumi na…
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
Afghanistan: Zaidi ya watu 800 wamefariki kutokana na tetemeko la ardhi
Watu zaidi ya 800 wamefariki na wengine zaidi ya 2,700 wamejeruhiwa mashariki mwa Afghanistan, ambayo imekumbwa usiku na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6 lenye ukubwa wa 6 katika…
Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefariki kutokana na tetemeko la ardhi
Takriban watu 622 wamefariki na wengine zaidi ya 1,500 wamejeruhiwa mashariki mwa Afghanistan, ambayo imekumbwa usiku na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6 lenye ukubwa wa 6 katika kipimo…
Tetesi za soka Jumatatu: Newcastle imekubali kumuuza Isak kwenda Liverpool kwa £130m
Chanzo cha picha, Getty Images Saa 4 zilizopita Liverpool wamekubaliana ada ya £125m na Newcastle kumsajili Alexander Isak. The Reds watawasilisha ada ya rekodi ya Uingereza itakayofikia £130m. (Telegraph) Aston…
AU yaeleza kuguswa na kuongezeka kwa fedha haramu barani Afrika
Umoja wa Afrika, umeeleza kuguswa na kuongezeka kwa fedha haramu kwenye bara hilo, fedha ambazo zimetokana na ukwepaji kodi, rushwa, utakatishaji wa fedha, utoroshaji wa mitaji na ufadhili wa ugaidi,…
Uchaguzi Tanzania 2025: Uchaguzi bila Chadema, nini tafsiri na athari zake?
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, yuko gerezani kwa zaidi ya miezi minne kwa tuhuma za uhaini Saa 3 zilizopita Tangu kurejeshwa kwa…
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
#HABARI: Zaidi ya watu 200 wamefariki na mamia ya wengine kujeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 6.0 kugonga ene…
#HABARI: Zaidi ya watu 200 wamefariki na mamia ya wengine kujeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 6.0 kugonga eneo la mashariki mwa Afghanistan siku ya Jumapili, kwa…
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuboresha zaidi MISAMAHA YA ADHABU YA KIFORODHA kwa Watanzania?
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kuboresha zaidi MISAMAHA YA ADHABU YA KIFORODHA kwa Watanzania? Hebu tupe maoni yako..
Usajili 10 ghali zaidi England, Isak wanne duniani
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 18 zilizopita Liverpool wamevunja rekodi ya soka ya Uingereza baada ya kufikia makubaliano na Newcastle United kumsajili mshambuliaji wa Kiswidi, Alexander Isak, kwa ada…
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA MBILI NA DAKIKA 55, SEPTEMBA 01, 2025
Jinsi China inavyoipiku Marekani kama kinara wa teknolojia ulimwenguni
Chanzo cha picha, David Paul Morris/Bloomberg vía Getty Images Maelezo ya picha, Kwa mujibu wa gazeti la Japani la Nikkei Asia, 87% ya wauzaji wa Apple wana mitambo ya uzalishaji…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: MCHUNGAJI ALIYESHIRIKI MARATHONI NDANI YA JOHO AFUNGUKA …SEPTEMBA 01, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: MCHUNGAJI ALIYESHIRIKI MARATHONI NDANI YA JOHO AFUNGUKA …SEPTEMBA 01, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: LIGI KUU TANZANIA BARA KUANZA KURINDIMA …SEPTEMBA 01, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: LIGI KUU TANZANIA BARA KUANZA KURINDIMA …SEPTEMBA 01, 2025
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
🔴KUMEKUCHA: SIASA NA UCHAGUZI – SEPTEMBA 01, 2025
🔴KUMEKUCHA: SIASA NA UCHAGUZI – SEPTEMBA 01, 2025
🔴MAGAZETI: MAFISADI WOTE WATANYONGWA / SIMBA HAKUNA KULALA …SEPTEMBA 01, 2025
🔴MAGAZETI: MAFISADI WOTE WATANYONGWA / SIMBA HAKUNA KULALA …SEPTEMBA 01, 2025
Israel yamuua msemaji wa Hamas Abu Obeida huko Gaza
Chanzo cha picha, Getty Images Msemaji wa kundi la wapiganaji la Hamas, Abu Obeida, ameuawa katika shambulizi la anga katika mji wa Gaza, Israel imesema. Waziri wa Ulinzi wa Israel…
Uchaguzi Tanzania bila Chadema nini tafsiri na athari zake?
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Julai, 1992, mwaka huu itakuwa ni mara ya kwanza kwa Tanzania kufanya uchaguzi mkuu pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani.
#KIPIMAJOTO: Ombi la Wakulima wa Kokoa Mbeya kutaka kuundwe bodi ya Kudhibiti ubora wa zao hilo kama zilivyo za mazao mengine
#KIPIMAJOTO: Ombi la Wakulima wa Kokoa Mbeya kutaka kuundwe bodi ya Kudhibiti ubora wa zao hilo kama zilivyo za mazao mengine. Je, Serikali ilitekeleze?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – SEPTEMBA 01, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – SEPTEMBA 01, 2025
Ripoti: Marekani yapanga kuchukua udhibiti kamili wa Gaza
Marekani inapanga kuwahamisha wakaazi wote wa ukanda wa Gaza na kuchukua udhibiti kamili wa ukanda huo chini ya mpango unaozingatiwa na utawala wa Rais Donald Trump. Taarifa hizo zimeripotiwa jana…
Waasi wa Houthi wavamia ofisi za UN, wateka wafanyakazi
Waasi wa Houthi wamevamia ofisi za mashirika mawili ya misaada ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa, na kuwateka nyara wafanyakazi kadhaa. Taarifa hizo ni kwa mujibu…
Kim Jong Un akagua kiwanda cha silaha kabla ya ziara China
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekagua kiwanda kipya cha utengenezaji wa makombora pamoja na mchakato wa uzalishaji wa silaha hizo kwa kutumia teknolojia ya kisasa, kwa mujibu wa…
Khamenei ataka ushirikiano wa China na Iran kuibadili dunia
Kupitia chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X, Khamenei amesema nchi hizo mbili kutoka pande tofauti za Asia, zina uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa ya kikanda na duniani kwa ujumla.…