MSIMAMO: Mambo bado sana… kimahesabu hata KMC anaweza kumaliza ligi akiwa ‘top four’
MSIMAMO: Mambo bado sana… kimahesabu hata KMC anaweza kumaliza ligi akiwa ‘top four’. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi (Feed generated with FetchRSS)
Korea Kusini: Meli ya Korea Kusini ‘inawaka moto’ baada ya ‘mlipuko’ katika Mlango wa Hormuz
“Mlipuko” uliofuatiwa na moto umekumba meli ya Korea Kusini katika Mlango wa Hormuz leo Jumatatu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imetangaza, ikiongeza kuwa hakukuwa na majeruhi ndani…
Mali: Kwanini Azawad Liberation Front (FLA) hawataki kuitwa magaidi?
Nchini Mali, kundi la Azawad Liberation Front (FLA) linalotaka kujitenga na kujitawala Kaskazini mwa Mali, linasema sio kundi la kigaidi, kama linavyotambuliwa na serikali ya kijeshi jijini Bamako, baada ya…
#NBCPL Wajelajela hali inazidi kuwa tete…!!!
#NBCPL Wajelajela hali inazidi kuwa tete…!!! FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City. Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #MbeyaDerby #DabiYaMbeya #PrisonsMbeyaCity (Feed generated with FetchRSS)
Mlandege yafufuka, yaitupa Zimamoto nafasi ya sita
KOCHA Mkuu wa Mlandege, Hassan Ramadhan 'Pele' amesema ushindi walioupata dhidi ya Zimamoto umefufua matumaini mapya ya timu hiyo kutetea taji lao la Ligi Kuu Zanzibar.
RDC: Maandamano ya kuunga mkono vikwazo dhidi ya Kabila yafanyika Kinshasa
Nchini DRC, chama cha rais wa nchi hiyo UDPS kimefanya maandamano katika mitaa ya Kinshasa. Uhamasishaji huo ulikuwa wa kuunga mkono vikwazo vya Marekani vilivyomlenga rais wa zamani Joseph Kabila,…
Usalama kwa wafanyakazi wa kampuni za Said Salim Bakhresa ni kipaumbele kisicho na mbadala na ili kuweza kupata ufanisi wa hali …
Usalama kwa wafanyakazi wa kampuni za Said Salim Bakhresa ni kipaumbele kisicho na mbadala na ili kuweza kupata ufanisi wa hali ya juu wa utendaji kazi sambamba na kuhakikishiwa usalama…
Iran yasema imeshambulia meli ya kivita ya Marekani Hormuz
Iran inasema makombora yake mawili yamelenga meli ya kivita ya Marekani kwenye mlango wa Bahari ya Hormuz, baada ya nchi hiyo kupuuza onyo lake la kutopita katika eneo hilo, ambapo…
Chad: Rais Deby alaani ‘mbinu za udanganyifu wa ndani na nje’ kufuatia vurugu mashariki
Mahamat Idriss Deby aonya dhidi ya “mbinu za udanganyifu wa ndani na nje” zinazolenga kuwagawanya Wachad. Katika mahojiano yaliyofanywa na timu yake ya mawasiliano, Rais wa Chad anajadili ziara yake…
Kuelekea katika Maonesho na Mnada wa Kimataifa wa Mifugo ‘Tri-Nations Livestock Expo’ utakaofanyika kuanzia Juni 19 mkoani Pwani…
Kuelekea katika Maonesho na Mnada wa Kimataifa wa Mifugo 'Tri-Nations Livestock Expo' utakaofanyika kuanzia Juni 19 mkoani Pwani, ni vyema wafugaji na wawekezaji kufahamu kiundani faida na umuhimu wa lishe…
Leo tarehe 4/5/2026 katika makao makuu ya nchi, jijini Dodoma, Mzalendo Alphonce Muyinga (Alphanga Black) ameacha alama ya kipek…
Leo tarehe 4/5/2026 katika makao makuu ya nchi, jijini Dodoma, Mzalendo Alphonce Muyinga (Alphanga Black) ameacha alama ya kipekee ya uzalendo na kujitoa kwa jamii baada ya kutembelea Shule ya…
DRC: Misaada ya kibinadamu yapelekwa Minembwe, mojawapo ya maeneo yaliyotengwa zaidi na vita
Kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa, timu ya kibinadamu ya ICRC imefanikiwa kufika eneo la Minembwe katika nyanda za juu za mkoa wa Kivu Kusini, pande zote mbili…
Kampuni za Said Salim Bakhresa imefanikiwa kutwaa tuzo saba katika Maonesho ya Wiki ya Afya na Usalama Mahala pa Kazi yaliyopo c…
Kampuni za Said Salim Bakhresa imefanikiwa kutwaa tuzo saba katika Maonesho ya Wiki ya Afya na Usalama Mahala pa Kazi yaliyopo chini ya OSHA. Katika kuzifafanua tuzo hizo na tafsiri…
Mafuriko na maporomoko ya ardhi yameua watu wasiopungua 18 nchini Kenya
Angalau watu 18 wamefariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katika sehemu nyingi za Kenya. Imechapishwa: 04/05/2026 – 16:18 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…
Mike Sonko ajivunia bintiye Sandra akipokea tuzo ya ujasiriamali: “Endelea kung’aa”
Mike Sonko alimsherehekea bintiye Sandra Mbuvi kwa fahari baada ya kutangazwa kuwa Mjasiriamali Bora wa Kike Afrika katika tuzo za Africa Golden Awards Nairobi.
Ruto awasili Dar es Salaam
DAR ES SALAAM: Rais wa Kenya, William Ruto amewasili Tanzania leo Mei 4, 2026 kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili inayolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya. Kwa…
Jela miaka 12 kwa kujaribu kumuua mzee wa miaka 78
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imemhukumu Ramadhan Muhunzi, kifungo cha miaka 12...
Dodoma braces for Ruto tour as he addresses the Parliament May 5, 2026
DAR ES SALAAM: PRESIDENT William Ruto of Kenya will tomorrow, May 5, 2026, address the Parliament of the United Republic of Tanzania in Dodoma before concluding his official visit to…
Emanuela Mtatifikolo: “Narudi Nyumbani” kuitumikia Isimani
IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Isimani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuela Kaganda Mtatifikolo, ameanza rasmi safari yake ya kuwania nafasi hiyo kwa kauli yenye uzito wa kihisia na…
Polisi, wananchi washirikiana kuanzisha vikundi vya ulinzi shirikishi
Vikundi hivyo vimeundwa katika vijiji vinavyokaliwa na wakulima na wafugaji, ambavyo kwa muda...
Nakuru: Mchungaji wa PCEA Auawa Kanisani na Washukiwa Waliojihami
Mchungaji wa PCEA aliuawa na washukiwa waliojihami Nakuru, na kuzua taharuki. Wakaazi wakiongozwa na Kimani Ngunjiri walitaka kuchukuliwa hatua...
Tanzania’s speedy collection from mining resources exceeds 1.2tri/- target
DODOMA: THE Commissioner of the Mining Commission is satisfied with the speed of collection of resources in the Mining Sector through the Mining Commission, a step that gives the Tanzanian…
Didier Drobga alivyotambulishwa bungeni
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
“Simba ilikuwa inasubiri kufungwa tu na Yanga” God Yanga ahoji ubora wa Pedro yaliyotokea Isamuhyo!
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
Azim Dewji aanza kuona mambo magumu Simba, afafanua kilichoiponza kwa Yanga sare ya bao 2-2 Isamuhyo
Fei Toto awapiku Dube na Allan Okello Ligi Kuu Bara MABAO mawili ya Ligi Kuu Bara aliyofunga kiungo mshambuliaji nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ juzi dhidi Mtibwa…
CRDB Insurance hits 4.4bn net profit from 343.1m/- recorded in 2024.
DAR ES SALAAM: CRDB Insurance Company has announced a net profit of 4.4bn/- after tax for the financial year ending December 2025, a significant increase from 343.1m/- recorded in 2024.…
Ruto jets in Dar for a mission to deepen Kenya-Tanzania bilateral ties
DAR ES SALAAM: PRESIDENT William Ruto has arrived in Tanzania for a two-day State visit aimed at strengthening bilateral relations between the two neighbouring countries. According to information from the…
Conjestina aibuka tena barabarani, adai Sonko alimwacha baada ya kutoka kituo cha kurekebisha tabia
Conjestina Achieng aliibuka tena barabarani baada ya kuondoka katika kituo cha kurekebisha tabia. Wakenya walielezea wasiwasi na wakaomba asaidiwe.
Uungaji Mkono wa Ulaya kwa Jinai za Israel Umekuwa na Matokeo Gani?
Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametoa indhari kali akisema, nchi za Ulaya zinazizoesha jamii zao sera…
Tume ya Mipango yazindua mafunzo ya uidhinishaji miradi ya maendeleo
Tume ya Taifa ya Mipango imezindua mafunzo ya Mwongozo wa Kitaifa wa Uidhinishaji wa Miradi ya...
Vifo vya mama, mtoto vyashtua, Mchengerwa ataka maboresho sekta ya afya
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ametoa maelekezo kwa watumishi wa sekta ya afya nchini...
Tanzania, Turkey sign agreement on double taxation, prevention of tax evasion
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government and the government of Turkey have signed two key agreements on the Avoidance of Double Taxation (Double Taxation Agreement – DTA) and the Prevention…
Makonda tables 525.32bn/- budget for the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports
DODOMA: THE Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda, has requested Parliament to approve a total of 525.32bn/- for the ministry’s budget for the 2026/2027 financial year, to…
3,357 Tanzanian journalists certified through the TAI Habari system
DODOMA: THE Tanzanian government has begun to reap the benefits of digital transformation in the media sector after 3,357 journalists were certified and certified in less than a year through…
Kadhaa wahofiwa kufariki baada ya basi la Nile Star lililokuwa likielekea Kampala kugongana na trela
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki wakati basi la Nile Star lililokuwa likielekea Kampala kugongana na trela kwenye barabara ya Pakwach-Karuma...........
Mwang’onda aridhishwa mradi wa madarasa Mtwara Vijijini
MTWARA: KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026, Wazo Mwang’onda ameridhishwa na mradi wa ujenzi wa vyumba vya viwili vya madarasa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini…
Tanzania reinstates veteran journalists previously ousted by the accreditation system
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has introduced a special arrangement aimed at enabling veteran journalists who were previously affected by the accreditation (Ithibati) system to re-enter the formal journalism…
PM calls for collective action in combating digitally coordinated cross-border crime
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has said that regional and international cooperation is essential in combating evolving cross-border crime. The Prime Minister made the statement during the official…
Samia provides 20bn/- to empower journalists, and content creators
DODOMA: THE MINISTER of the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda has said that the Journalists Accreditation Board (JAB) in collaboration with the Tanzania Culture and Arts…
Sports Ministry collects 699m/- from its sources, a 67.5 percent of its target
DODOMA: THE Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda has said that the ministry has collected 699m/- equivalent to 67.5 per cent of its target from various revenue…
When familiarity becomes fraud
DAR ES SALAAM: THINGS are moving fast. Faster than most of us can keep up with. Money moves through phones, conversations happen in seconds and somewhere in between, people are…
UN: Sintofahamu ya hali ya usalama yaendelea kughubika Mlango Bahari wa Hormuz
Katikati ya madai na kuyakanusha kuhusu mashambulizi na makabiliano katika Mlango muhimu wa Bahari wa Hormuz kati ya Iran na Marekani, maafisa wa masuala ya bahari wa Umoja wa Mataifa…
Kenya tunashirikiana na mataifa jirani kutokomeza ukeketaji: Hanna Wendot Cheptumo
Ukeketaji bado ni changamoto katika maeneo kadhaa duniani na takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO hadi mwaka jana kulikuwa na zaidi ya wasichana na wanawake…
Janga la njaa na mateso vinazidi kutuangamiza, raia wa Somalia wamweleza Fletcher
Wanawake na watoto waliokimbia ukame na migogoro nchini Somalia wameonya kuwa wanazidi kutumbukia katika janga la kibinadamu la njaa na mateso huku kupungua kwa ufadhili wa misaada ya kibinadamu kukiendelea…
Mashambulizi dhidi ya huduma za afya kwenye migogoro yaongezeka miaka 10 baada ya Azimio 2286
Mashirika ya kimataifa ya kibinadamu na afya yameonya kuwa hali ya usalama wa huduma za afya katika maeneo ya migogoro imeendelea kuzorota, licha ya juhudi za kimataifa zilizowekwa kulinda sekta…
Wanawake milioni 55 hatarini kupoteza ajira kutokana na mzigo wa madeni: Ripoti ya UNDP
Nchi zinazoendelea zinakabiliwa na ongezeko la ulipaji wa madeni ya taifa, hali inayotishia kupotea kwa ajira milioni 55 kwa wanawake na kupunguza kipato chao kwa asilimia 17, imesema ripoti mpya…
Hantavirus: Hatari kwa umma bado ni ndogo hakuna haja ya taharuki – WHO
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WHO, limesema hatari kwa umma kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Hantavirus ulioripotiwa jana Jumapili Mei 3 kwenye meli ya kitalii katika…
Maboresho ya miundombinu na tahadhari vyahitajika kukabili majanga
Mei 4 ya kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Zimamoto, maalumu kwa kuwaenzi wazimamoto...
REA yatekeleza mpango wa majiko banifu Kagera vijijini
BUKOBA: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeanza utekelezaji wa mpango wa kusambaza majiko banifu 200,000 nchini kwa lengo la kupunguza matumizi ya kuni na mkaa, ikiwa ni sehemu ya mkakati…
Meli ya kijeshi ya Marekani yapigwa kwa makombora mawili baada ya kupuuza onyo la Iran
Shirika la Habari la Fars limetangaza kuwa, meli ya Jeshi la Wanamaji la Marekani imepigwa kwa makombora mawili baada ya kupuuza onyo la Jeshi la Majini la Iran.