Araghchi: Historia haitasamehe usuasuaji zaidi katika kukomesha janga la Gaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametoa wito wa kuchukuliwa hatua madhubuti za kimataifa kukomesha mauaji ya halaiki ya Israel yanayoendelea huko Gaza, akisema kuwa nchi zote…
Fahamu dalili sita kuu za ugonjwa wa figo
Chanzo cha picha, AFP via Getty Images Maelezo kuhusu taarifa Author, Deepak Mandal Nafasi, BBC 13 Agosti 2025 Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka…
Nani atachukua jukumu la usalama huko Gaza baada ya vita?
Kwa mujibu wa Burt, Gaza kwa sasa ni “jinamizi la kiusalama” kwa chombo chochote cha kusimamia. Ukanda huo, amesema, umejaa magenge, silaha, na uhalifu. “Kazi ya kwanza itakuwa ni kuzuia…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 25, AGOSTI 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 25, AGOSTI 2025
Samir Halila: Mfahamu mtu anayepigiwa upatu kutawala Ukanda wa Gaza
Katika siku za hivi karibuni, mfanyabiashara wa Kipalestina Samir Halila amekuwa akitajwa zaidi katika vyombo vya habari vya Kiarabu na kimataifa, huku kukiwa na mazungumzo juu ya uwezekano wa kuchukua…
🔴AIBUYAKO: MADEREVA WASIOVAA MIKANDA YA USALAMA YAMEWAKUTA!
🔴AIBUYAKO: MADEREVA WASIOVAA MIKANDA YA USALAMA YAMEWAKUTA! 25, AGOSTI 2025
Fahamu kwanini Iran inashirikiana na Urusi na China
Uingereza ilisema jana kwamba kwa muda mrefu imekuwa ikiweka wazi kwamba mpango wa nyuklia wa Iran ni tishio kwa amani na usalama wa kimataifa na kwamba Tehran imeshindwa kutoa hakikisho…
#HABARI: Baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumteua John Luhende kuwa mgombea Jimbo la Bukene, Kada huyo am…
#HABARI: Baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumteua John Luhende kuwa mgombea Jimbo la Bukene, Kada huyo amefika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya…
#HABARI:Mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge Jimbo la Musoma Mjini Mgore Miraji amechukua fomu ya kugombea n…
#HABARI:Mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge Jimbo la Musoma Mjini Mgore Miraji amechukua fomu ya kugombea nafasi hiyo huku akiahidi kuwalipa deni walilomkopesha wakazi wa Musoma…
#HABARI: Mfanyabiashara maarufu Mjini Moshi, Bw
#HABARI: Mfanyabiashara maarufu Mjini Moshi, Bw. Ibrahimu Shao, amechukua fomu ya kuwania Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Jimbo la Moshi Mjini. Mgombea Ubunge huyo amekabidhiwa fomu…
Jinsi vijana wasio na kazi China wanavyojifanya wameajiriwa
Badala ya kukaa nyumbani wakikabiliwa na shinikizo la kijamii na kifamilia, baadhi yao sasa wanachagua kutumia fedha zao kulipia huduma ya kuingia kwenye ofisi za kuigiza kazi maeneo yanayoitwa kwa…
#HABARI: Askofu wa Jimbo Katoliki la Singida, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Idara ya Utume wa Walei wa Baraza la Maaskofu Kakatoli…
#HABARI: Askofu wa Jimbo Katoliki la Singida, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Idara ya Utume wa Walei wa Baraza la Maaskofu Kakatoliki Tananzaia (TEC), Mhashamu Edward Mapunda, ameomba Uchaguzi Mkuu,…
🔴DAKIKA 45 NA KAMISHNA JENERALI (DCEA), BW ARETAS JAMES LYIMO
🔴DAKIKA 45 NA KAMISHNA JENERALI (DCEA), BW ARETAS JAMES LYIMO.
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 25, 2025 – WAZIRI MKUU MAJALIWA AHIMIZA AMANI UCHAGUZI MKUU
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 25, 2025 – WAZIRI MKUU MAJALIWA AHIMIZA AMANI UCHAGUZI MKUU
#HABARI: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya, Mkoa Mbeya, Mh
#HABARI: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya, Mkoa Mbeya, Mh. Masache Njelu Kasaka, aliyefanikiwa kutetea nafasi yake na kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupeperusha bendera ya…
Godwin Asediba wa Ghana ashinda Tuzo ya BBC Komla Dumor ya 2025
Mwandishi huyo mwenye umri wa miaka 29 mara nyingi huangazia masuala ya maslahi ya binadamu yanayolenga kufichua ukosefu wa haki na kupaza sauti za jamii zilizotengwa.
Ogiek wanapigania kurejea msituni Mau
Jamii ya Ogiek nchini Kenya inapigania kurejesha ardhi ya mababu zao katika msitu wa Mau. Jamii hiyo imeishi msituni humo kwa muda mrefu japo serikali ya Kenya imewalazimisha kuondoka.
Uturuki yalaani shambulizi la Israel dhidi ya wanahabari
Maafisa wa Palestina wamesema karibu watu 20 wakiwemo waandishi wa habari watano, waliuawa kwenye shambulizi la Israel kwenye Hospitali ya Nasser. Mkuu wa idara hiyo ya mawasiliano Burhanettin Duran ameandika…
Wadephul amtaka Putin kuzungumza mara moja na Zelensky
Wadephul amesema hayo alipokutana na mwenzake wa Croatia Gordan Grlić Radman katika mji mkuu Zagreb, akisema Putin atakuwa anajidanganya, ikiwa anadhani atacheza na muda. “Lazima tuendelee kuishinikiza Urusi. Ndiyo maana,…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Netanyahu aahidi kuwaondoa wanajeshi wake Lebanon
Taarifa ya ofisi ya Netanyahu imesema ikiwa Jeshi la Lebanon (LAF) litachukua hatua zinazohitajika kuwapokonya silaha Hezbollah, Israel itashiriki hatua za kubadilishana, na kuwapunguza kwa hatua wanajeshi wake, chini ya…
Marais wa Iran na Urusi wajadili mpango wa nyuklia wa Iran
Rais wa Urusi Vladimir Putin alizungumza kwa njia ya simu na Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, hii ikiwa ni kulingana na Ikulu ya Kremlin na kugusia hali ya mpango wa…
Sudan yakabiliwa na janga la kiutu baada ya mashambulizi
Hali ya kibinadamu katika mji wa El-Fasher nchini Sudan inazidi kuzorota baada ya mashambulizi mapya ya vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF) yaliyosababisha vifo, utekaji na uharibifu mkubwa.…
Indonesia na Marekani waanza luteka za pamoja za mwaka
Luteka hizo, zinazolenga kuhakikisha uthabiti katika eneo la Asia-Pasifiki, zinafanyika wakati Marekani inaangazia kuhakikisha washirika wao wanachukulia kwa uzito zaidi vitisho ambavyo huenda vikaletwa na China. Zaidi ya wanajeshi 4,000…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA : AGOSTI 25, 2025 – NYANI NA FISI WAGEUKA TISHIO KWA WANANCHI
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA : AGOSTI 25, 2025 – NYANI NA FISI WAGEUKA TISHIO KWA WANANCHI
Gaza: Ishirini, wakiwemo wanahabari watano wauawa, katika shambulio la Israel Khan Younis
Waandishi watano wanaofanya kazi katika vyombo vya habari vya kimataifa wameuawa tarehe 25 Agosti katika mashambulizi ya Israel. Mashambulizi hayo yameikumba hospitali moja kusini mwa Ukanda wa Gaza na kusababisha…
Israel yatuhumiwa kuwalenga wanahabari huko Gaza
Mapema Jumatatu asubuhi, Israel imeshambulia kwa makombora mawili hospitali kubwa zaidi kusini mwa Ukanda wa Gaza ya al-Nasser huko Khan Younis na kusababisha vifo vya watu 19 wakiwemo wanahabari 4.…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua mradi wa kuwasaidia watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani (Children in Street Situation (CiSS)…
Vita Sudan: RSF yanalenga maeneo ya Kimkakati katika Jiji la El-Fasher
Hali ya utulivu kwa sasa inatawala huko El-Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini, mji pekee katika jimbo hilo ulio chini ya udhibiti wa jeshi. Mapigano makali yameendelea kwa siku tisa…
#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Singida zikiwemo taasisi mbalimbali wameombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu katika Hospitali …
#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Singida zikiwemo taasisi mbalimbali wameombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, ilikuweza kuokoa maisha ya wagonjwa wakiwemo wanaojifungua na…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo …
#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo…
#HABARI: Kiza Mayeye, aliyeteuliwa na chama cha Allaince for Change and Transparent, (ACT-Wazalendo) kuwa mgombea wa nafasi ya U…
#HABARI: Kiza Mayeye, aliyeteuliwa na chama cha Allaince for Change and Transparent, (ACT-Wazalendo) kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kigoma Kaskazini, amefika katika ofisi za Msimamizi wa…
Khamenei: Tatizo letu na Marekani haliwezi kutatuliwa
Nchi hizi tatu za Ulaya ziliipa Iran hadi mwishoni mwa mwezi wa Agosti kuingia katika makubaliano mapya ya nyuklia, kinyume chake, imetishia na kufungua njia ya kurejeshwa kwa maazimio ya…
#HABARI: Aliyekuwa akitetea Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, amezungumza mara baada y…
#HABARI: Aliyekuwa akitetea Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, amezungumza mara baada ya jina lake kutorudi katika vikao vya kuchuja wagombe ubunge. Amewataka…
Mkahawa mpya wa Korea Kaskazini ambao ni raia wa Urusi pekee wanaoweza kuutumia
Eneo jipya la mapumziko katika ufuo wa bahari wa Korea Kaskazini limefunguliwa lakini kwa raia wa Urusi pekee.
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 25, 2025
INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi
Polepole alidai kuwa mifumo ya CCM, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Tume ya Uchaguzi imeunganishwa, kauli ambayo alidai inakiwezesha chama chake kupata ushindi hata kabla ya siku ya…
Shambulizi la Israel laua raia pamoja na waandishi, Gaza
Kulingana na Wizara ya Afya ya Gaza waliouawa ni wagonjwa waliolazwa kwenye ghorofa ya nne ya Hospitali ya Nasser na juhudi za uokozi zinaendelea. Mkaazi wa Gaza Shadi Al-Arabi amenukuliwa…
Ufaransa: Hatukubaliani na matamshi ya balozi wa Marekani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kwenye taarifa jana Jumapili kwamba imemtaka Kushner kufika kwenye Wizara hiyo na kuongeza kuwa madai yake “hayakubaliki.” Taarifa hiyo imesema Ufaransa inapinga…
Dirisha la fomu za ubunge kwa CCM lafunguliwa rasmi
Dirisha la uchukuaji wa fomu za kuwania ubunge kwa wanachama wa CCM limefunguliwa rasmi ikiwa ni siku chache baada ya maamuzi ya mwisho yaliyofanywa na Halmashauri Kuu ya Chama cha…
Bangladesh: Hatuwezi tena kuwasaidia wakimbizi wa Rohingya
Muhammad Yunus ameiomba jamii ya kimataifa kusaka suluhu endelevu kuelekea mzozo huo wa wakimbizi. Ametoa matamshi hayo kwenye maadhimisho ya miaka minane tangu zaidi ya wakimbizi 700,000 walipoingia kwenye mji…
CHAN 2024: Afrika Mashariki fungu la kukosa, Uganda nje kama Tanzania na Kenya
Timu za taifa za Kenya na Tanzania zimeaha mashindano ya CHAN hii leo baada ya kufungwa katika mechi za robo fainali.