Libya: Uhusiano kati ya Marshal Haftar na Uturuki waendelea kuimarika
Uhusiano kati ya Ankara na mbabe wa kivita wa mashariki mwa Libya, yaliyoanzishwa mwezi Aprili mwaka huu, yameendelea kushuhudiwa siku ya Jumatatu, Agosti 25, kwa ziara ya mkuu wa idara…
DRC: Viongozi wa kidini waungana kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa Jumuishi
Kama ilivyoombwa na ofisi ya rais wa Kongo mwezi Juni, Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti yameungana na madhehebu mengine ya kidini ili kupendekeza mtazamo wa pamoja wa kufanyika kwa mazungumzo…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Pezeshkian amwambia Putin: Iran haijawahi kamwe kutaka kumiliki silaha za nyuklia
Rais Masoud Pezeshkian jana Jumatatu alizungumza kwa simu na Rais Vladimir Putin wa Russiai na kumweleza kuwa Tehran haijawahi kutaka kumiliki wala haitatafuta silaha za nyuklia, akisisitiza msimamo wa muda…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi Irene Mlola, amewataka wakulima nchi…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi Irene Mlola, amewataka wakulima nchini kuacha mara moja tabia ya kuuza mazao yao nje ya mfumo…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 26, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 26, 2025
Vita vya Ukraine: Trump aviita Vita nchini Ukraine ‘Mgogoro wa Kibinafsi’
Chanzo cha picha, Reuters Vita nchini Ukraine vimegeuka kuwa “mzozo mkubwa wa kibinadamu,” Rais wa Marekani Donald Trump alisema wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Baadaye kidogo, akijibu swali…
Trump akutana na rais wa Korea Kusini Ikulu ya White House
Mada ya Korea Kaskazini ilikuwa miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa huku rais huyo wa Marekani akisema kuwa angependa kukutana na Kim Jong Un mwaka huu. Trump pia alisema kuwa ana mahusiano…
🔴KUMEKUCHA:HUDUMA ZA UGOMBOAJI MIZIGO….AGOSTI 26, 2025
🔴KUMEKUCHA:HUDUMA ZA UGOMBOAJI MIZIGO….AGOSTI 26, 2025
Aliyekuwa mbabe wa dawa za kulevya Mexico akiri mashitaka
Alisema anasikitika kwa kusaidia kujaza nchini Marekani dawa za kulevya aina ya kokeini, heroini na dawa zingine haramu na kwa kuchochea ghasia mbaya nchini Mexico. Aliomba radhi na kusema kuwa…