Je, ni nani atanyakuwa nafasi zilizosalia kufuzu Kombe la Dunia 2026?
Nafasi saba za Kombe la Dunia la Fifa 2026 zimesalia kunyakuliwa huku hatua ya makundi ya kufuzu kwa Afrika ikifikia kilele chake.
Madagascar: Wanajeshi waunga mkono waandamanaji, Rajoelina ‘bado yuko nchini’
Maandamano dhidi ya serikali nchini Madagascar yanazidi kuongezeka. siku ya Jumamosi, Oktoba 11, makundi ya wanajeshi yamejiunga na maandamano katika mitaa ya Antananarivo, na kikosi cha jeshi la Madagascar kimetoa…
Mapigano makali yazuka kati ya majeshi ya Pakistan na Afghanistan kwenye mpaka wa nchi mbili
Mapigano makali ya mpakani yamezuka kati ya majeshi ya Afghanistan na Pakistan huku vikosi vya nchi hizo mbili vikishambuliana kwa kutumia silaha nzito.
Hamas yawaita wapiganaji wake Gaza huku hofu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ikiongezeka
Mapigano tayari yametokea kati ya Hamas na ukoo wenye silaha katika Jiji la Gaza.
Ødegaard kurudi dimbani Novemba
Nahodha wa Arsenal, Martin Ødegaard, ataendelea kuwa nje ya uwanja hadi mwezi Novemba kutokana...
Afrika kufunga hesabu Kombe la Dunia
Idadi ya timu tisa zitakazoiwakilisha Afrika katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 itakamilika...
Dk Mpango: Viongozi tufuate mema ya Mwalimu Nyerere, tumuombee
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, ameongoza wananchi na viongozi mbalimbali katika ibada...
Rashford aitupia lawama Man United
Marcus Rashford ametaja mazingira yasiyo rafiki ya Manchester United kuwa moja ya sababu...
Ethiopia kuunda Tume ya nyukia
Mnamo Septemba, Ethiopia na Urusi zilitia saini mpango wa utekelezaji wa kuendeleza mradi wa nishati ya nyuklia nchini Ethiopia.
Kenya yavuna mahindi katika mpango wa Galana Kulalu
Ekari 330 za mahindi zitavunwa kwa muda wa siku tano zijazo, maji yakiwa tayari yanapatikana kutoka kwenye mabwawa mawili madogo, mshirika binafsi aitwaye Selu Limited hivi karibuni ataweza kumwagilia ekari…
Foden afichua siri kuvaa jezi namba 47
Sio siri Phil Foden alikuwa kwenye kiwango bora kabisa Manchester City ilipofanya kweli kwenye...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa mkoa wa Kigoma kuwachagua wagombea wa Cha…
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa mkoa wa Kigoma kuwachagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa ni watu wenye sifa na…
Msala unaowakabili wachezaji ghali England
Pesa kubwa inapotumika, matarajio yake ni makubwa pia. Lakini, kwenye Ligi Kuu England mambo...
#HABARI: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
#HABARI: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wameshiriki Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage…