Vita vya Israel-Iran vyamfukuzisha kazi Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani
Luteni Jenerali Jeffery Kruse, ametimuliwa ikiwa ni wiki chache tu baada ya Ikulu ya White House kukosoa ripoti kuhusu athari za mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran ya Juni 22,…
Israel yaushambulia mji wa Gaza wakati ikijiandaa kuuchukua mji huo
Ndege na vifaru vimeshambulia sehemu za mji wa Gaza huku mipango ya Israel ya kuliteka eneo kubwa la mijini katika eneo hilo.
#HABARI: Vyombo vya Usalama Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Urambo, vimeanza oparesheni ya kuwasaka popote walipo watu wasiojulikana…
#HABARI: Vyombo vya Usalama Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Urambo, vimeanza oparesheni ya kuwasaka popote walipo watu wasiojulikana waliomuua mlinzi wa soko la Ussoke, lililopo wilayani Urambo, Bw. Nasoro…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 24, 2025 – RAIS SAMIA ASISITIZA AMANI
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 24, 2025 – RAIS SAMIA ASISITIZA AMANI
#HABARI: Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua John Luhende, kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Bukene mkoan…
#HABARI: Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua John Luhende, kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Bukene mkoani Tabora. Luhende ametangazwa kupeperusha bendera hiyo jana Jumamosi Agosti 23,…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiombewa dua na watoto yatima wa Kituo cha Watoto Yatima Mburahati mara baada ya kuwasili katika ukumbi…
#HABARI: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amemshukuru Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt
#HABARI: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amemshukuru Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa imani yake kubwa kwake ikiwemo kumpendekeza na kisha…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA : AGOSTI 24, 2025 – UJENZI WA SOKO WADHITI MAGONJWA YA MLIPUKO
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA : AGOSTI 24, 2025 – UJENZI WA SOKO WADHITI MAGONJWA YA MLIPUKO
Watu kadhaa wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel
Wakati huo huo, kumeripotiwa pia mashambulizi katika maeneo ya mashariki na kaskazini mwa mji huo wa Gaza katika vitongoji vya Zeitoun, Shejaia na Sabra huku majengo kadhaa yakiripuliwa katika mji…
Urusi: Nchi za Ulaya zinalenga “kuzuia” mchakato wa amani
Lavrov amekemea hatua ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ya kuweka masharti na kulazimisha kukutana na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, akisisitiza kuwa majaribio hayo yanalenga kuvuruga mchakato wa amani…