OPERESHENI DAKABU
MUITO wa simu iliyokuwa mezani ulimgutusha pale kitandani alipokuwa amelala, lakini aliipuuza. Simu kwa wakati ule haikuwa na maana kabisa kwake. Msichana mrembo Upendo, alikuwa kando yake, akionyesha kumhitaji sana…
MKATABA – 2
ILIPOISHIA JUMATATU… Haraka mmoja wao akaingia ndani, hakukawia sana, tayari Ustaadhi Alii alikuwa ameshatoka nje, naye alikuwa anatweta. “Vipi Suma” “Mtihani Ustaadhi.” “Nini?” “Twende nyumbani.” Ustaadhi hakukaidi, wakatoka pamoja hadi…
MKATABA – 1
MKATABA – 1 KICHAA cha moyo kilimpanda ghafla Suma. Ni mara ya tatu sasa anamwita msichana huyo lakini haoneshi dalili ya kumwitikia. Suma akazidi kuchanganyikiwa. Kwa nini haitikii? Akajiuliza mwenyewe…
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Abiria na wafanyakazi wa ndege yenye chapa A380 ya shirika la ndege la Malaysia Airlines wamepata majeraha madogo baada ya ndege hiyo waliyokuwemo kupatwa na mtikisiko mkubwa. Imechapishwa: 06/06/2016 –…
Muhammad Ali kuzikwa Ijumaa ya wiki hii
Dunia imealikwa kuhudhuria msiba wa Muhammad Ali, kwenye mji alikozaliwa siku ya Ijumaa ambako maisha ya nguli huyu wa masumbwi yatasherehekewa huku uma ukipewa nafasi ya kushiriki mazishi na ibada…
Mji wa Aleppo waendelea kushambuliwa na vikosi vya Serikali ya Syria
Mashambulizi ya anga yaliyofanywa na vikosi vya Serikali kwenye mji wa Aleppo hii leo, yameua watu wanaokadiriwa kufikia 16, limesema shirika moja la waangalizi wa haki za binadamu. Imechapishwa: 05/06/2016…
Upinzani nchini Kenya kuendelea na maandamano ya kila Jumatatu
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Kenya, Josephu Boinett, ametoa onyo kali kwa viongozi wa muungano wa upinzani wa Cord dhidi ya maandamano yao waliyoapanga kuyafanya siku ya Jumatatu, June…
Tovuti ya RFIKISWAHILI kuwa na muonekano mpya kuanzia June 6
Idhaa ya Kiswahili ya Radio France International, Jumatatu ya wiki ijayo, June 6 itazindua rasmi muonekano mpya wa tovuti yake ya kiswahili, ambao sasa wasikilizaji wataweza kupata vitu vingi na…