Skip to content
  • Mon. Jun 29th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Pumba Zilizogeuka Dhahabu Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro
HABARILEO

Pumba Zilizogeuka Dhahabu

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro

June 28, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
HABARILEO
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
MWANANCHI
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
MWANANCHI
Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
MWANANCHI
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
HABARILEO
Pumba Zilizogeuka Dhahabu
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
MWANANCHI
Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
MWANANCHI
Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
MWANANCHI
Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
Uncategorized

Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamezindua rasmi safari za kuelekea katika mik…

October 24, 2025 mjombazecoder

Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamezindua rasmi safari za kuelekea katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, kwa ajili ya kufuatilia maandalizi na mwenendo wa…

Uncategorized

Mashujaa yapiga mkwara ikiikaribisha Namungo

October 24, 2025 mjombazecoder

MASHUJAA imeahidi kufanya vizuri dhidi ya Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, kesho.

Uncategorized

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) mkoani Katavi imetakiwa kuongeza juhudi katika utoaji wa elimu ya bima, hususan katika maene…

October 24, 2025 mjombazecoder

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) mkoani Katavi imetakiwa kuongeza juhudi katika utoaji wa elimu ya bima, hususan katika maeneo ya vijijini ambako mara nyingi huduma na elimu hiyo haifikii…

Uncategorized

Ujerumani yaahidi kuisaidia Ukraine katika msimu wa baridi

October 24, 2025 mjombazecoder

Waziri wa uchumi wa Ujerumani Katherina Reiche amewasili nchini Ukraine leo pamoja na ujumbe wa kibiashara, na kuahidi msaada kwa Ukraine wakati wa msimu wa baridi unaokuja .

Uncategorized

Wajerumani wengi waunga mkono kauli ya Merz kuhusu uhamiaji

October 24, 2025 mjombazecoder

Raia wengi wa Ujerumani wanakubaliana na matamshi ya hivi karibuni ya kansela wa Ujerumani Friedrich Merz yanayopendekeza kwamba matatizo yanatokana na uhamiaji yanadhihirika wazi katika barabara za nchi hiyo.

Uncategorized

Trump: Israel haitaunyakua Ukingo wa Magharibi

October 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump ameionya vikali Israel dhidi ya mpango wake wa kulinyakua eneo la Ukingo wa Magharibi siku kadhaa baada ya kuanza kwa utekelezwaji wa makubaliano ya kusitisha…

Uncategorized

🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025

October 24, 2025 mjombazecoder

🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025

Uncategorized

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw

October 24, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Benno Malisa amewataka wananchi wa mkoani hapo waliojiandaa kufanya vurugu zinazohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii siku ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wajionye…

Uncategorized

Job awaita mashabiki kwa Mkapa kesho

October 24, 2025 mjombazecoder

BAADA ya Yanga kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Silver Strikers Oktoba 18, 2025, beki na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job amesema hawatakubali unyonge kufungwa tena nyumbani Uwanja…

Uncategorized

Oxfam: Zaidi ya watu milioni 21 wahitaji msaada Kongo

October 24, 2025 mjombazecoder

Zaidi ya watu milioni 21 wanahitaji msaada wa kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hii ikiwa idadi ya karibu humusi moja ya watu. Haya ni kwa mujibu wa shirika…

Uncategorized

Kamwe: Mageti kwa Mkapa wazi kwa saa nne pekee

October 24, 2025 mjombazecoder

Kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Silver, mageti yatafunguliwa saa 4:00 asubuhi na kufungwa saa 8:30 mchana.

Uncategorized

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Rose Ebrahim, amewahimiza watumishi wa mahakama katika kanda hiyo kuendelea kus…

October 24, 2025 mjombazecoder

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Rose Ebrahim, amewahimiza watumishi wa mahakama katika kanda hiyo kuendelea kusimamia na kuzingatia misingi ya kazi yao, huku wakitimiza wajibu wao kwa…

Uncategorized

Mabedi: Njoo muone, Yanga ipo tayari

October 24, 2025 mjombazecoder

KAIMU kocha Mkuu wa Yanga, Patrick Mabedi ambaye ni raia wa Malawi, amesema ushindi dhidi ya Silver Strickers ni muhimu ili kuhakikisha timu inatinga hatua ya makundi katika Ligi ya…

Uncategorized

Kundi la Quad kufanya mkutano kuhusu Sudan mjini Washington

October 24, 2025 mjombazecoder

Wawakilishi wa Marekani, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri wanakutana leo Ijumaa mjini Washington na pande husika katika vita vya Sudan, wakilenga kuzishinikiza kuelekea kwenye makubaliano ya…

Uncategorized

Ulaya yaihakikishia Ukraine Ufadhili

October 24, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Ulaya kuweka mipango ya kuifadhili Ukraine kwa miaka miwili huku suala la kutumia mali zilizozuiwa za Urusi kufidia mikopo kwa Ukraine likiendelea kuwa tete.

HABARI ZA KIPEKEE

​​​​​​​Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran: Trump ni mlea magaidi

October 24, 2025 mjombazecoder

​​​​​​​Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza kuwa Rais wa Marekani Donald Trump ni gaidi, na iwapo dunia inataka kumtambua gaidi halisi, basi mtu huyo si mwingine…

HABARI ZA KIPEKEE

Rais Ruto asema miswada aliyosaini siku ya kifo cha Raila inalinda watoto

October 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea hatua yake ya kusaini miswada minane kuwa sheria mnamo Oktoba 15, 2025—siku hiyo hiyo ambayo taifa lilipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu,…

HABARI ZA KIPEKEE

Afisa wa UN aitaka Israel kutii uamuzi wa ICJ kuhusu msaada kwa Gaza

October 24, 2025 mjombazecoder

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk, ameitaka Israel kutekeleza kwa haraka uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), akisisitiza wajibu…

Uncategorized

Kumekuwa na mitazamo hasi kuwa, kuchangia damu kunaweza kukuletea athari, lakini ukweli ni kuwa, hakuna athari yoyote mtu anawez…

October 24, 2025 mjombazecoder

Kumekuwa na mitazamo hasi kuwa, kuchangia damu kunaweza kukuletea athari, lakini ukweli ni kuwa, hakuna athari yoyote mtu anaweza kupata akichangia damu kama wanavyoeleza, Dkt. Pendaeli Sifueli Dkt. Abilius Fidel.…

HABARI ZA KIPEKEE

Ali Larijani:Mashinikizo ya kiuchumi hayawezi kuvunja irada imara ya Iran

October 24, 2025 mjombazecoder

Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani, amesisitiza kuwa mashinikizo la kiuchumi kutoka mataifa ya Magharibi hayawezi kuathiri uthabiti wa taifa.

HABARI ZA KIPEKEE

China na Russia zalaani vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya sekta ya nishati Russia

October 24, 2025 mjombazecoder

Russia imelaani vikali vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya makampuni yake makubwa ya mafuta, ikionya kuwa hatua hizo za Washington zinaweza kuisukuma dunia kuelekea hali ya kutokuwa na utulivu.

Uncategorized

#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt

October 24, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum…

MWANANCHI

Brian Deacon nyota wa kipindi chote kwenye filamu ya Yesu

October 24, 2025 mjombazecoder

Hakuna ubishi zipo filamu nyingi zinazohusiana na simulizi za kidini hususani za Yesu...

Uncategorized

Inaelezwa kuwa, kuchangia damu kunapunguza hatari ya mchangiaji kupata magonjwa ya moyo na pia kunapunguza wingi wa mafuta mwili…

October 24, 2025 mjombazecoder

Inaelezwa kuwa, kuchangia damu kunapunguza hatari ya mchangiaji kupata magonjwa ya moyo na pia kunapunguza wingi wa mafuta mwilini. Msikilize Meneja Damu Salama Kanda ya Mashariki, Dkt. Pendaeli Sifueli akifafanua…

Uncategorized

🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025

October 24, 2025 mjombazecoder

🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025

MWANANCHI

 Mtaalamu wa picha alivyohitimisha ushahidi dhidi ya Lissu

October 24, 2025 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

Uncategorized

Waasi wa M23 nchini DRC wakanusha kuiba dhahabu

October 24, 2025 mjombazecoder

Kampuni inayofanya kazi katika jimbo la Kivu Kusini, ambayo sehemu kubwa iko chini ya udhibiti wa M23, ilisema wiki hii kwamba M23 "imesafirisha dhahabu kwa njia ya siri."

MWANANCHI

Benitez anyemelea rekodi mpya Ugiriki

October 24, 2025 mjombazecoder

Meneja wa zamani wa Liverpool na Real Madrid, Rafa Benitez ataandika rekodi ya kuwa Meneja wa...

Uncategorized

#MEZAHURU: Fukwe za bahari

October 24, 2025 mjombazecoder

#MEZAHURU: Fukwe za bahari. Tunaangalia juu ya umuhimu wa fukwe za bahari na matunzo yake. Je, zipo chini ya uangalizi wa nani?. Je usalama wa watumiaji wa fukwe hizi upoje?…

Cote d’ivore: Wananchi wajiandaa kupîga kura siku ya Jumamosi

October 24, 2025 mjombazecoder

Wananchi wa Cote Dvoire, kesho watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu ambao rais Alassane Ouattara, anatarajiwa kushinda muhula wa nne, baada ya wapinzani wake wakuu rais za zamani Laurent Gbagbo na…

Uncategorized

#HABARI: Meneja Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU LTD Mohamed Mwinguku, amezitaka taasisi za kifedha kuharakisha malip…

October 24, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Meneja Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika cha TANECU LTD Mohamed Mwinguku, amezitaka taasisi za kifedha kuharakisha malipo ya wakulima wa korosho na kutoa taarifa mapema badala ya kusubiri…

Uncategorized

Ukarabati wa ukumbi wa wageni wa Trump waibua ukosoaji

October 24, 2025 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump anapata wapi pesa za kukarabati sehemu ya Mashariki ya Ikulu kwa ajili ya wageni karibu 1,000 wakati serikali ikiwa imefungwa Wakosoaji wanatoa onyo kuhusu rushwa…

Uncategorized

#HABARI: Abiria waliokuwa wanasafiri na treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma wameipongeza Serikali na Shirika la Reli Ta…

October 24, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Abiria waliokuwa wanasafiri na treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma wameipongeza Serikali na Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kuchukua hatua haraka na kurejesha huduma…

MWANANCHI

Lissu aomba dhamana, mahakama yamkatalia

October 24, 2025 mjombazecoder

Awali, Jamhuri katika kesi hiyo ya uhaini inayomkabili Lissu, iliomba iahirishwe mpaka Novemba...

HABARI ZA KIPEKEE

Carbonnier: Afrika inasumbuliwa na migogoro 50 ya silaha, ikiwakilisha 40% ya migogoro ya kimataifa

October 24, 2025 mjombazecoder

Gilles Carbonnier, Makamu wa Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC), ameelezea masikitiko yake kuhusu uwepo wa zaidi ya migogoro 50 inayoendelea barani Afrika, ikiwakilisha takriban 40% ya…

HABARI ZA KIPEKEE

Iran yalaani muswada wa Knesset ya Israel wa kunyakuliwa Ukingo wa Magharibi

October 24, 2025 mjombazecoder

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali muswada uliopasishwa katika Bunge la Israel (Knesset) wa kunyang'anywa eneo la Ukingo wa Magharibi huko Palestina ukiutaja kuwa ni ukiukaji wa…

HABARI ZA KIPEKEE

Humanity and Inclusion: Kuondoa mada za milipuko Ukanda wa Gaza kutachukua miaka 30

October 24, 2025 mjombazecoder

Afisa wa taasisi ya Humanity and Inclusion amesema kazi ya kukusanya silaha ambazo hazijalipuka katika Ukanda wa Gaza inaweza kuchukua kipindi cha miaka 20 hadi 30, akilitaja eneo hilo kama…

HABARI ZA KIPEKEE

Baraza la Utawala Sudan: Hakuna mazungumzo na RSF huko Washington

October 24, 2025 mjombazecoder

Baraza la utawala wa Mpito la Sudan limekanusha madai ya kuwepo mazungumzo yoyote ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF)…

HABARI ZA KIPEKEE

Makumi ya waasi wauawa katika mashambulizi ya jeshi mashariki mwa Nigeria

October 24, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Nigeria limetangaza kwamba limewaua wanamgambo 50 waliokuwa wakiendesha shughuli zao katika makundi yenye msimamo mkali ambao walikuwa wametumia ndege zisizo na rubani kufanya mashambulizi kadhaa kwenye kambi za…

Uncategorized

#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi No…

October 24, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Novemba 3 baada ya upande wa Jamhuri leo Oktoba 24, 225 kusema hawana…

Uncategorized

Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha kuwa Oktoba 29, 2025 ni siku ya mapumziko kutoa nafasi kwa wananchi wenye sifa stahiki wak…

October 24, 2025 mjombazecoder

Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha kuwa Oktoba 29, 2025 ni siku ya mapumziko kutoa nafasi kwa wananchi wenye sifa stahiki wakiwemo watumishi wa umma na wafanyakazi katika sekta binafsi, kutumia…

MWANANCHI

VIDEO: Lissu alivyofikishwa tena Mahakama Kuu leo

October 24, 2025 mjombazecoder

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelealo (Chadema), Tundu Lissu...

Uncategorized

🔴KONGAMANO LA AMANI TABORA, OKTOBA 24, 2025

October 24, 2025 mjombazecoder

🔴KONGAMANO LA AMANI TABORA, OKTOBA 24, 2025

MWANANCHI

Oktoba 29 mapumziko ya kitaifa kwa ajili ya kupiga kura

October 24, 2025 mjombazecoder

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi tayari imetoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi siku hiyo...

MWANANCHI

KONA YA MSTAAFU: Iko wapi nchi ya asali na maziwa kwa wastaafu?

October 24, 2025 mjombazecoder

Miaka 48 iliyopita wakati tukianza ajira moja kwa moja kutoka shule, mashirika, kampuni za umma...

Uncategorized

Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kwa treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma wamesema wamefarijika kuona huduma za usa…

October 24, 2025 mjombazecoder

Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kwa treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma wamesema wamefarijika kuona huduma za usafiri wa reli hiyo kurejea muda mfupi baada ya…

Maandamano mapya yazuka Kaskazini mwa Cameroon, raia bado kusubiri matokeo ya uchaguzi

October 24, 2025 mjombazecoder

Wakati raia wa Cameroon bado wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais, siku ya Jumatatu, Oktoba 27, huku kukiwa na wasiwasi mkubwa, kutokuwa na uhakika, na maandamano, baadhi ya…

MWANANCHI

Iko wapi nchi ya asali na maziwa kwa wastaafu?

October 24, 2025 mjombazecoder

Miaka 48 iliyopita wakati tukianza ajira moja kwa moja kutoka shule, mashirika, kampuni za umma...

Marekani: Katika hali ya vita vya biashara, Trump kukutana na Xi Jinping Korea Kusini

October 24, 2025 mjombazecoder

Trump ataanza ziara kubwa ya kidiplomasia barani Asia, Oktoba 30 kwa mkutano wa maamuzi na Rais wa China Xi Jinping nchini Korea Kusini. Imechapishwa: 24/10/2025 – 08:26 Dakika 2 Wakati…

Korea Kaskazini Jumba la Makumbusho kwa wanajeshi waliouawa Ukraine

October 24, 2025 mjombazecoder

Korea Kaskazini imeanza kujenga Jumba la Makumbusho kwa wanajeshi wake waliofariki katika vita wakisaidi Urusi nchini Ukraine, vyombo vya habari vya serikali vimeripotisiku ya Alhamisi, huku wa nchi hiyo kiongozi…

Posts pagination

1 … 825 826 827 … 1,016

Recent Posts

  • Pumba Zilizogeuka Dhahabu
  • Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka
  • Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano
  • Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga
  • Benki ya NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Kilimanjaro

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

HABARILEO

Pumba Zilizogeuka Dhahabu

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Ahueni bei ya mafuta kushuka yaanza kuyeyuka

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Bao la Mayele laiibua Yanga, Pyramids, AS Vita nazo zampa tano

June 28, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Mradi wa Hatifungani ya Kijani kuondoa adha ya maji Tanga

June 28, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS