Jeshi la Niger linadai kumuua kiongozi wa kundi la Boko Haram
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, jeshi la Niger limetangaza siku ya Alhamisi jioni kwamba limemuua kiongozi wa kundi la wanajihadi la Boko Haram wiki iliyopita katika Bonde…
Waziri Mkuu wa zamani wa Thailand Thaksin aachiliwa katika Kesi ya kuutusi utawala wa kifalme
Mahakama ya Bangkok imemuachilia huru bilionea aliyekuwa na utata na Waziri Mkuu wa zamani wa Thailand Thaksin Shinawatra kwa kosa la kuutusi utawala wa kifalme. Imechapishwa: 22/08/2025 – 07:58 Dakika…
Cameroon: Watu nusu milioni wako hatarini kuachwa bila msaada wa chakula yaonya WFP
Watu nusu milioni nchini Cameroon wana hatari ya kuachwa bila msaada wa chakula katika wiki zijazo kutokana na uhaba wa fedha, kulingana na shirika la Imoja wa Mataifa la Mpango…
Kampala yafafanua makubaliano yaliyofikiwa na Washington kuhusu wahamiaji kutumwa Uganda
Baada ya Rwanda, Eswatini na Sudan Kusini, ni zamu ya Kampala kufikia makubaliano kuhusu wahamiaji na serikali ya Marekani ya Donald Trump. Uganda, ambayo tayari inaongoza kwa kuwahifadhi wakimbizi barani…
Niger: Mvua na mafuriko yamesababisha vifo vya watu hamsini mwaka 2025
Msimu wa mvua unaendelea nchini Niger, na kama kila mwaka, nchi hiyo inapata mvua kwa wiki kadhaa, mara kwa mara ikiambatana na mafuriko. Ingawa inadumu hadi mxezi Oktoba, idadi rasmi…
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Kesi dhidi ya rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila, iliyoanza mwezi Julai 2025 mbele ya Mahakama Kuu ya Kijeshi mjini Kinshasa, inakaribia kumalizika. Joseph Kabila Kabange, ambaye aliongoza Jamhuri…
DRC: François Beya, mshauri wa zamani wa Tshisekedi hatimaye ameachiliwa huru
Mahakama Kuu ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetoa uamuzi wake katika kesi inayomkabili François Beya. François Beya, aliyekuwa mshauri maalum wa masuala ya usalama wa Rais Félix…
Senegal imetoa wito kwa Marekani kuondoa vikwazo dhidi ya majaji wanne wa ICC
Senegal imejibu tangazo la Marekani la vikwazo vipya dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ambayo inaituhumu kwa kuendesha tasisi hiyo “kisiasa.” Vikwazo hivi, vinavyolenga majaji wanne, majaji wawili,…
Majaji nchini Ufaransa waagiza kufutwa kwa uchunguzi dhidi Agathe Habyarimana
Majaji nchini Ufaransa, wamegiza kufutwa kwa uchunguzi dhidi ya Agathe Habyarimana, mke wa aliyekuwa rais wa Rwanda Juvénal Habyarimana, anayedaiwa kuhusika kwenye mauaji ya kimbari yaliyotokea mwaka 1994. Imechapishwa: 21/08/2025…
Uganda yakubaliana na Washington kuwapokea wahamiaji kutoka Marekani
Uganda itaanza kuwapokea wahamiaji wasiokuwa na sifa ya kuishi nchini Marekani, hatua ambayo inaendeleza sera ya rais Donald Trump kuwaondoa wahamiaji haramu. Imechapishwa: 21/08/2025 – 16:12Imehaririwa: 21/08/2025 – 16:36 Dakika…