Zanzibar – Kisiwa maarufu cha viungo duniani
25.08.202525 Agosti 2025 Zanzibar inasifika kwa uwepo wa mashamba ya viungo ambapo wageni hujifunza kuhusu karafuu, mdalasini, vanila na viungo vyingine vinavyokifanya kisiwa hicho kuwa kitovu cha biashara ya viungo…
Utamaduni wa jamii ya Wasuba nchini Kenya
25.08.202525 Agosti 2025 Jamii ya Wasuba nchini Kenya ni mojawapo ya makabila ya asili yaliyo na historia ya kipekee na tamaduni tajiri, ingawa kwa sasa jamii hiyo inakabiliwa na changamoto…
25.08.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S25.08.202525 Agosti 2025 Wanahabari kadhaa wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel+++Jeshi la Urusi ladai kuteka kijiji kingine cha Ukraine kwenye jimbo la Dnipropetrovsk+++Tanzania- Dirisha la fomu za ubunge…
25.08.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ25.08.202525 Agosti 2025 Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Mbio ya Munyonge, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza…
25.08.2025 Taarifa ya Habari Asubuhi
DIRA.BZ25.08.202525 Agosti 2025 Mashambulizi ya Israel kwenye mji mkuu wa Yemen, Sanaa yauwa watu sita // Rais Zelensky wa Ukraine atoa wito wa mkutano na Rais Putin wa Urusi huku…
Utapiamlo watishia maisha ya watoto 132,000 Gaza-Ripoti
Ripoti ya IPC,shirika linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa linalohusika na ufuatiliaji wa usalama wa chakula, linakadiria kuwa “utapiamlo unatishia maisha ya watoto 132,000.
Vita vya Israel-Iran vyamfukuzisha kazi Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani
Luteni Jenerali Jeffery Kruse, ametimuliwa ikiwa ni wiki chache tu baada ya Ikulu ya White House kukosoa ripoti kuhusu athari za mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran ya Juni 22,…
Israel yaushambulia mji wa Gaza wakati ikijiandaa kuuchukua mji huo
Ndege na vifaru vimeshambulia sehemu za mji wa Gaza huku mipango ya Israel ya kuliteka eneo kubwa la mijini katika eneo hilo.
#HABARI: Vyombo vya Usalama Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Urambo, vimeanza oparesheni ya kuwasaka popote walipo watu wasiojulikana…
#HABARI: Vyombo vya Usalama Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Urambo, vimeanza oparesheni ya kuwasaka popote walipo watu wasiojulikana waliomuua mlinzi wa soko la Ussoke, lililopo wilayani Urambo, Bw. Nasoro…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 24, 2025 – RAIS SAMIA ASISITIZA AMANI
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 24, 2025 – RAIS SAMIA ASISITIZA AMANI