Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Abiria na wafanyakazi wa ndege yenye chapa A380 ya shirika la ndege la Malaysia Airlines wamepata majeraha madogo baada ya ndege hiyo waliyokuwemo kupatwa na mtikisiko mkubwa. Imechapishwa: 06/06/2016 –…