Dickson Mhilu arudi Kagera Sugar
BAADA ya Kagera Sugar kurejea Ligi Kuu Bara, imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji mbalimbali kati ya hao ni Dickson Mhilu aliyesaini mkataba wa miaka miwili hadi 2028.
BAADA ya Kagera Sugar kurejea Ligi Kuu Bara, imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji mbalimbali kati ya hao ni Dickson Mhilu aliyesaini mkataba wa miaka miwili hadi 2028.
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeshusha rungu zito kwa Azam FC kufuatia matukio yaliyotokea baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ilipopoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Simba.
Timu ya Polisi Tanzania imetanguliza mguu mmoja kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Tanzania Prisons kwa mabao 4-0, na kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu.
TIMU ya Polisi Tanzania imetanguliza mguu mmoja kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kuwapiga maafande wa Magereza, Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 ikijiweka sehemu nzuri ya kufuzu.
IMEELEZWA baada ya kiungo Pius Buswita kumaliza mkataba na Namungo FC, ameanza mazungumzo mapya na klabu hiyo, huku zikitajwa Geita Gold na Coastal Union kumpa ofa za kuhitaji huduma yake…
SIMBA na Singida Black Stars zitakuwa na kazi moja tu ya kufanya katika michuano ya Kombe la CECAFA Kagame Cup 2026 baada ya Shirikisho la Soka Rwanda (FERWAFA) kutangaza kila…
MLANDEGE inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), imetangaza kuachana na mshambuliaji wake, Mussa Hassan ‘Mbappe’ huku ikimtakia kheri katika safari yake mpya.
MJUMBE wa Shirikisho la Mchezo wa Kabaddi Zanzibar, Abbas Khamis Suleiman, amewataka vijana kisiwani hapa kushiriki mchezo huo kwa lengo la kuzifikia fursa zilizopo.
BAADA ya timu Wembe kutia nia ya kumtaka aliyekuwa Kocha Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohamed ‘Mani Gamera’, sasa upepo umegeuka na kocha huyo msimu ujao atainoa Chipukizi iliyopo kisiwani Pemba.
WAKATI mabingwa wa Ligi Kuu Zanzibar, KVZ wakipangwa kundi C katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup), kocha mkuu wa timu hiyo, Hababuu Ali amesema…
KOCHA wa makipa, Fernando Pereira, ameaga ndani ya klabu ya Yanga baada ya kumaliza safari yake akiwa sehemu ya benchi la ufundi lililoiongoza timu hiyo kutwaa ubingwa wa tano mfululizo…
UNAMKUMBUKA yule kipa Clause Kindoki aliyewahi kuitumikia Yanga Jamaa amefariki jana Jumamosi Julai 11, 2026 kwenye ajali ya pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda ikiihusisha pia lori la mizigo.
Kocha Msaidizi wa Yanga, Matthew Silva ameaga rasmi ndani ya klabu hiyo jambo linaloonekana kuchangiwa na sababu mbili za msingi.
Yanga inapambana kukamilisha usajili wa wachezaji wawili walioitumikia timu moja ya jeshi, Mabingwa wa Ligi Kuu Bara wakiendelea na msako wa kuimarisha kikosi chao.
Yanga inapambana kukamilisha usajili wa wachezaji wawili walioitumikia timu moja ya jeshi, Mabingwa wa Ligi Kuu Bara wakiendelea na msako wa kuimarisha kikosi chao.
UONGOZI wa Azam FC huenda ukaachana na winga wa kikosi hicho Mnigeria, Abel Abah baada ya kutoridhishwa na kiwango chake tangu alipojiunga rasmi na matajiri wa Jiji la Dar es…
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa Pamba Jiji, Mganda Peter Lwasa amesema Ligi Kuu ya Tanzania ndiyo iliyomfanya kuonekana zaidi na kupata dili la kujiunga na G.D. Interclube inayoshiriki Ligi Kuu ya…
MABOSI wa Geita Gold wamefungua mazungumzo na mabingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2025-2026, Klabu ya Yanga kwa lengo la kumrejesha aliyekuwa winga nyota wa kikosi hicho, Edmund…
KLABU ya Yanga, leo Julai 10, 2026 imemtambulisha Manqoba Mngqithi kuwa kocha mkuu wa kikosi cha timu hiyo.
Yanga imemtambulisha kocha Manqoba Mngqithi kuwa kocha wao mpya akichukua nafasi ya Pedro Goncalves.
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) na Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) kuzindua mfumo wa kidigitali wa usimamizi wa ligi zote kwa ajili ya msimu ujao wa 2026/27, wadau wameziomba…
KIUNGO wa Simba, Ladaki Chasambi huenda akaitumikia Mashujaa au Pamba Jiji kwa mkopo msimu ujao ikiwa ni sehemu ya mpango wa kumpa nafasi ya kucheza mara kwa mara baada ya…
KIUNGO wa Simba, Ladaki Chasambi huenda akaitumikia Mashujaa au Pamba Jiji kwa mkopo msimu ujao ikiwa ni sehemu ya mpango wa kumpa nafasi ya kucheza mara kwa mara baada ya…
KUNA taarifa za ndani kutoka TRA United kwamba, klabu hiyo ipo hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo Greyson Gwalala kutoka Coastal Union ya Tanga.
BAADA ya kiungo mshambuliaji Hasnath Ubamba kuuzwa na FC Masar kwenda Madrid CFF ya Hispania, inaelezwa kuwa Fountain Gate Princess itanufaika kwa kupata asilimia 20 ya ada ya uhamisho huo…
SIMBA inatarajia kuingia kambini Julai 18, 2026 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame itakayopigwa nchini Rwanda kuanzia Julai 24 hadi Agosti 8 mwaka huu.
MWENYEKITI wa Kamati ya Fedha na Mipango wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Awadh Maulid Mwita, amesema kupitia Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027, wanaamini…
BAADA ya Zanzibar kuwa wenyeji wa mashindano ya mchezo wa Kabaddi Afrika, shirikisho la mchezo huo kisiwani hapa limesema hiyo itakuwa fursa kushiriki mashindano ya dunia kwa upande wa wanaume…
WAKATI timu zikijiandaa na msimu ujao wa 2026-2027 kwa kuboresha vikosi vyao, Uhamiaji imeamua kuachana na wachezaji saba.
KATIKA kujiimarisha kuelekea msimu mpya na mashindano ya kimataifa, KVZ imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji kutoka Junguni United, Nature Mwakilembe.
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) na Chama cha Kamati za Kitaifa za Olimpiki Afrika (ANOCA), zimeidhinisha rasmi matokeo ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC)…
Klabu ya Al Talaba anayocheza Mtanzania, Simon Msuva, imetangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na beki aliyemaliza muda wake ndani ya Simba, Chamou Karaboue.
Klabu ya Sekhukhune ya Afrika Kusini, imetangaza kuwatema wachezaji wake watatu akiwemo straika mmoja wa zamani wa Yanga.
KLABU ya AS FAR ya Morocco imemtangaza rasmi aliyekuwa kocha wa Yanga, Mreno, Pedro Goncalves, kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Alexandre Santos aliyeondolewa mwishoni mwa…
Wachezaji wa Yanga, Dickson Job, Kibwana Shomary na Abuutwalib Mshery wametoa msaada wa madawati 200, madaftari 3000, mabegi katika shule ya Msingi Kilonga.
WAKATI Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025-2026 ukichezwa kwa takribani siku 286 kuanzia Septemba 17, 2025 hadi Juni 30, 2026, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kwamba,…
BAADA ya Kocha wa Fountain Gate, Fredy Felix 'Minziro' kuibakisha timu hiyo kwenye Ligi Kuu Bara msimu ujao wa 2026-2027, mabosi wa kikosi hicho wamepanga kumuongezea tena mkataba mpya wa…
BAADA ya kiungo mshambuliaji aliyemaliza mkataba wake na Pamba Jiji, Peter Lwasa kujiunga na klabu ya G.D Interclube ya Angola, kocha Francis Baraza anaamini atakwenda kufanya makubwa nchini humo.
BAADA ya kiungo mkabaji Mzamiru Yassin kumaliza mkataba wa mkopo wa miezi sita aliyokuwa akiuchezea TRA United kutoka Simba, imeelezwa ameanza safari yake mpya nje na Wanamsimbazi hao.
Matokeo ya 0-0 yameihakikishia Mbeya City kubaki Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao wa 2026-2027 kufuatia awali kushinda mabao 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons.