Dira 2050 kuongeza kasi utekelezaji SDGs
TANZANIA imesema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 utaongeza kasi ya kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kwa kuyajumuisha kikamilifu katika mipango ya maendeleo ya muda mfupi,…
TANZANIA imesema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 utaongeza kasi ya kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kwa kuyajumuisha kikamilifu katika mipango ya maendeleo ya muda mfupi,…
New York, Marekani: Tanzania imesema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 utaongeza kasi ya kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kwa kuyajumuisha kikamilifu katika mipango ya muda…
IRINGA: Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Ng’uruhe pamoja na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)…
IRINGA: Ndoto ya kumalizika kwa ujenzi wa nyumba ya watumishi katika Kijiji cha Magunga, Kata ya Maboga, Jimbo la Kalenga imepata nguvu mpya baada ya Mbunge wa jimbo hilo, Jackson…
RWANDA; Dereva wa mbio za magari kutoka Tanzania, Ahmed Huwel, ameshika nafasi ya pili katika mashindano ya Rwanda Mountain Gorilla Rally, ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Afrika ya Mbio…
MOROGORO: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimezindua programu mpya za Shahada ya Sayansi ya Ualimu katika mkondo wa Amali, hatua inayolenga kusaidia kutatua uhaba wa walimu wa masomo…
GEITA: KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imetoa wito kwa watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kushiriki kufanikisha upatikanaji wa dola milioni moja sawa na sh bilioni 2.6…
DAR ES SALAAM: WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuimarisha usimamizi wa ubora wa miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini kupitia maabara zake za kisasa zinazofanya uchunguzi…
DAR ES SALAAM: MAADHIMISHO ya Siku ya Mazingira yaliyofanyika katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yamekuwa jukwaa muhimu la kuhamasisha wananchi, hususan vijana…
MJIOLOJIA kutoka Ofisi ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Njombe, Abbas Mruma, amesema Tanzania inaendelea kujijengea nafasi muhimu duniani kutokana na kuwa na hifadhi kubwa ya madini ya kimkakati, yakiwemo…
BALOZI wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema lugha ya Kiswahili inaendelea kukua duniani, ikiwa sasa inazungumzwa na zaidi ya watu milioni 200 katika nchi 14 na kutumika rasmi…
DAR ES SALAAM: KATIKA jitihada za kuzuia uharibifu wa barabara na kuhakikisha zinapitika wakati wote, hususan kipindi cha mvua, Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umeanzisha mpango wa…
IRINGA: Mabadiliko ya maisha ya wanawake, wasichana na watoto mkoani Iringa yameendelea kushika kasi kupitia programu za uwezeshaji zinazolenga kuwajengea uwezo wa kiuchumi na kijamii, huku Serikali ikieleza kuwa ushirikiano…
ARUSHA: Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imewakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii katika Destination Tanzania Stakeholders Forum 2026 iliyofanyika jengo la Ngorongoro, Arusha, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika…
DAR ES SALAAM: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Umoja wa Wanasheria wa Afrika (PALU), Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS) na Chama…
ARUSHA: Uongozi mpya ndani ya Shirika kongwe la uhifadhi nchini umechukua hatamu rasmi baada ya aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi – TANAPA CPA Musa Nassoro Kuji kumaliza muda wake wa uongozi…
ARUSHA; SERIKALI imeanza rasmi kutoa mikopo kupitia Programu ya Sh bilioni 200 chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, huku Mkoa wa Arusha ukiwa wa kwanza kunufaika kwa kupokea Sh…
Nyota wa soka wa ndani na nje ya Tanzania Jumapili ya Julai 12, mwaka huu watakutana katika Tamasha la Hisani la “Clement Mzize Washike Mkono – Season One”, litakalofanyika Uwanja…
DAR ES SALAAM: JUHUDI za Serikali za kuongeza upatikanaji wa umeme nchini zimezaa matokeo makubwa, ambapo kiwango cha wananchi wanaopata huduma hiyo kimeongezeka kutoka asilimia 14 mwaka 2011 hadi asilimia…
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni, akishiriki katika Kongamano la Siku ya Nishati (Energy Day) linaloendelea katika Ukumbi…
USWIS: Tanzania imeendelea kupata mafanikio makubwa katika utekelezaji wa ajenda ya mageuzi ya kidijitali, yakidhihirisha dhamira ya Serikali ya kujenga uchumi wa kidijitali jumuishi unaowanufaisha wananchi. Kutokana na hatua hizo,…
RUKWA: Serikali imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya kisasa, ambapo Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Juma Zuberi Homera, amezindua Kituo…
DAR ES SALAAM: HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imetenga Sh bilioni 432 kwa ajili ya ujenzi wa kituo maalumu cha umahiri kitakacholenga kuinua ubora wa elimu cha Edward…
MOROGORO: OFISI ya Makamu wa Rais imewapongeza wadau wa mazingira ukiwemo Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kupitia Mradi wa Urejeshaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bayoanuai nchini…
SONGEA: Wadau wa mradi wa Dumisha Amani unaotekelezwa na VETA na wamepanga kuanzisha vituo vya vijana (Youth Centres) katika vyuo vya VETA mkoani Mtwara, Lindi, Kigoma na Wilaya ya Songea…
DAR ES SALAAM: MRATIBU wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, amesema Tanzania inatarajia kuingia katika hatua muhimu ya maandalizi ya Mapitio…
MKURUGENZI wa Sayansi wa Taasisi ya Afya Ifakara (IHI), Dk Ally Olotu, amesema taasisi hiyo imeendelea kushiriki katika tafiti na ubunifu mbalimbali unaolenga kufikia lengo la kutokomeza malaria nchini Tanzania…
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amesema Tanzania inapaswa kuwekeza zaidi katika tafiti za kisayansi na kuimarisha uwezo wa ndani wa kugundua, kutengeneza na kuzalisha dawa zitakazotatua…
GAIRO: Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Japhari Kubecha amefanya ziara katika Kata ya Chanjale, Kijiji cha Lukando, kwa lengo la kusikiliza wananchi na kutatua changamoto zinazowakabili. Katika ziara hiyo, aliambatana…
UFARANSA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amekutana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya ALSTOM ya nchini Ufaransa, Philippe Deller, ambapo wamejadiliana kuhusu fursa za uwekezaji sekta ya miundombinu ya…
ARUSHA: WAKUU wa shule wametakiwa kuhamasisha wanafunzi kujiunga na klabu za wapinga rushwa ili kuwajengea maadili mema, uzalendo na kuwafanya kuwa mabalozi wa kupinga vitendo vya rushwa katika jamii. Wito…
WANANCHI wa Kijiji cha Ng'ongo, Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wameanza kunufaika na huduma za afya zilizo karibu na makazi yao baada ya kukamilika na kuzinduliwa rasmi kwa Zahanati ya…
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuna haja ya kutafuta mbinu mpya ya kukieneza Kiswahili baada ya kuwa kimepata hadhi ya kimataifa.
DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara na mtangazaji wa utalii, Khalid Muhammad Baruan, ameikabidhi Serikali gari la kihistoria aina ya Jeep Wrangler alilotumia katika safari kutoka Oman hadi Tanzania kama zawadi kwa…
GENEVA: Tanzania imetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa kimataifa ili kuhakikisha maendeleo ya kasi ya Akili Unde (AI) yanasimamiwa kupitia mifumo ya kimataifa iliyo jumuishi, yenye uwazi na usawa.…
DAR ES SALAAM: Makamu wa Rais wa Emmanuel Nchimbi amesema maono ya Serikali ni kuona Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) yakibadilika kutoka eneo la kuonesha…
DAR ES SALAAM: WANANCHI wameendelea kunufaika na huduma mbalimbali za afya zinazotolewa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), huku wakipata fursa ya kufanyiwa uchunguzi, kupatiwa ushauri…
TANGA: SIASA za Mkoa wa Tanga zimechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, kutangaza rasmi kuondoka upinzani…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Ulinzi na JKT, Dk Rhimo Nyansaho amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kupitia Shirika lake la Uzalishaji Mali (SUMAJKT) kwa kuendelea kutoa ajira kwa vijana…
DAR ES SALAAM: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Mchome Lemburus, amewataka Watanzania kuendelea kulinda amani ya nchi. Aidha amesisitiza zaidi watu kujiepusha na…
UFARANSA: Tanzania Private Sector Federation (TPSF) na International Chamber of Commerce (ICC) leo wameingia makubaliano ya kimkakati yatakayopanua ushirikiano kati ya sekta binafsi ya Tanzania na jumuiya ya biashara ya…
UFARANSA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi kutoka Wizara ya Fedha ya Ufaransa, Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) pamoja na Kampuni ya SAGECOM, kwa…
ARUSHA: KUKAMILIKA kwa ujenzi wa Barabara ya Samia Longido Girls kunatarajiwa kuwa kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi wa Wilaya ya Longido kwa kuboresha usafiri, mawasiliano, biashara na fursa za…
IRINGA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa imezidua jengo lake la kisasa lenye thamani ya Sh Bilioni 1.67, hatua inayotarajiwa kuimarisha mapambano dhidi ya rushwa…
IRINGA: Mamia ya wasichana, wanawake na vijana mkoani Iringa wanatarajiwa kujenga maisha mapya ya kujitegemea kiuchumi baada ya kunufaika na vifaa vya ujasiriamali vilivyotolewa na Mradi wa BRAC Maendeleo, hatua…
DODOMA: SERIKALI imewataka viongozi wa vyama vya ushirika nchini kuendesha taasisi hizo kwa uwazi, uwajibikaji na uadilifu, huku ikionya kuwa haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria watakaobainika kujihusisha na ubadhirifu…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar ameielekeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha inaongeza makusanyo ya kodi ili kuendana na hali ya ukuaji wa uchumi unaoendelea…
Milango ya jengo jipya la kisasa la ghorofa moja la Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa ilipofunguliwa rasmi jana, haikuwa tu uzinduzi wa ofisi nyingine…
DODOMA: Serikali imezitaka jamii za ushirika nchini kuimarisha uwajibikaji, kutumia teknolojia za kidijitali na kuongeza ushiriki wa vijana na wanawake ili kuifanya sekta hiyo kuwa chachu ya maendeleo ya uchumi…
DAR ES SALAAM: Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeendelea kuimarisha juhudi za kupanua wigo wa hifadhi ya jamii nchini kwa kuwahamasisha wananchi waliojiajiri kujiunga na Hifadhi Skimu,…