Month: August 2024

MKATABA – 2

ILIPOISHIA JUMATATU… Haraka mmoja wao akaingia ndani, hakukawia sana, tayari Ustaadhi Alii alikuwa ameshatoka nje, naye alikuwa anatweta. “Vipi Suma” “Mtihani Ustaadhi.” “Nini?” “Twende nyumbani.” Ustaadhi hakukaidi, wakatoka pamoja hadi…