#HABARI: Ester Bulaya ameteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla ameeleza haya Jijini Dodoma.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania