#HABARI: Ester Matiko kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini.
Hayo yameelezwa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, wakati akitangaza majina ya wagombea walioteuliwa na CCM kwenda kupeperusha bendera ya chama hicho kuwania Ubunge.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania