#HABARI: Wakazi 3,020 wa Kijiji cha Kenyamonta na Vijiji jirani vya Kata ya Kenyamonta, wanatarajia kuanza kupata huduma ya afya baada ya kuanza ujenzi wa Zahanati ya Kenyamonta inayogharimu zaidi ya shilingi Milioni 111.
Ofisa Mtendaji wa Kijiji hiki anaweka wazi changamoto za huduma za afya na namna Zahanati hiyo itakavyoleta faraja kwa wananchi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania