#HABARI: Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amewagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, kuimarisha vitengo vya michezo kwa kuhakikisha watumishi wa Umma wanashiriki kimakamilifu kwenye Michezo mbalimbali ambayo itawezesha kuimarisha Afya, Akili, Ukakamavu na Nidhamu mahali pa kazi.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania