23 Agosti 2025

Watu 24 wauawa Gaza huku baa la njaa likihofiwa kuutanua zaidi mzozo wa kibinadamu. Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky ameyataka mataifa ya Africa, Asia, Latin America, na Caribbean yaishinikize Urusi kufikia makubaliano ya amani. Japan na Korea Kusini zakubaliana kuimarisha zaidi mahusiano yao

https://p.dw.com/p/4zPjT

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *