#VIDEO: Taasisi ya Kibao Salama Foundation imeanzisha maktaba mtandao ambayo inajihusisha na kutoa elimu mbalimbali kwa jamii ik…#VIDEO: Taasisi ya Kibao Salama Foundation imeanzisha maktaba mtandao ambayo inajihusisha na kutoa elimu mbalimbali kwa jamii ik…

#VIDEO: Taasisi ya Kibao Salama Foundation imeanzisha maktaba mtandao ambayo inajihusisha na kutoa elimu mbalimbali kwa jamii ikiwemo elimu dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya, elimu ya ujasiriamali, hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kibao Salama Foundation Bi. Salama Ally Kibao wakati wa uzinduzi wa maktaba hiyo, iliyo fanyika jijini Dar es Salaam.

Bi. Salama amewasisitiza wananchi kutumia jukwaa hilo kujipatia elimu mbalimbali na kujiongezea maarifa.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *