#HABARI: Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua John Luhende, kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Bukene mkoani Tabora.
Luhende ametangazwa kupeperusha bendera hiyo jana Jumamosi Agosti 23, 2025 na aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla wakati akitangaza majina ya wagombea watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania