#HABARI: Madereva bodaboda jijini Mbeya, wamelalamikia baadhi ya wamiliki wa usafiri huo kuwapa mikataba kandamizi ambayo huwafanya kutotimiza malengo yao.
Madereva bodaboda wamebainisha hayo baada ya kupata fursa ya kukopeshwa pikipiki 22, zenye thamani ya zaidi ya milioni 74 kwa masharti nafuu kutoka TAZARA SACOSS.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania