#MICHEZO: Baada ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kuondolewa Katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN dhidi ya timu ya taifa ya Morocco, Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Hemed Suleiman Morocco alisema wazi Tanzania kuna uhaba wa washambuliaji wa kati ambao ni wamaliziaji wazuri ndio mana timu inatengeneza nafasi nyingi lakini hazitumiwi ipasavyo.
@hoseamchopa akizungumza na Mwinyi Zahera yeye akiwa kama Mkurugenzi na kocha Katika timu mbalimbali hapa Tanzania aligundua nini sababu ya changamoto hii sisi kushindwa kutengeneza washambuliaji wengi bora wa kati.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania