#NUKUU: “Mungu atapokea maombi yetu, swala zetu, dua zetu, ikiwa nyoyo zetu zina amani, kwasababu ukiomba huna amani hata ile dua utaiweka kinyumenyume………” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania