#VIDEO: Serikali ya Tanzania inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 115, kununua ndege maalumu ya kufanya utafiti wa madin…#VIDEO: Serikali ya Tanzania inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 115, kununua ndege maalumu ya kufanya utafiti wa madin…

#VIDEO: Serikali ya Tanzania inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 115, kununua ndege maalumu ya kufanya utafiti wa madini, itakayo wawezesha wachimbaji wadogo hapa nchini kubaini sehemu ambayo madini yapo, tofauti na sasa wachimbaji wamekuwa wakichimba kwa kubahatisha, jambo ambalo lina changia kupoteza fedha na muda mrefu kwenye utafutaji .

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde, kwenye kongamano la wachimbaji wa madini wa Mkoa wa Singida la kumpongeza rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mafanikio katika sekta ya madini iliyofanyika katika machimbo ya madini Sekenke One, wilayani Iramba.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *