#VIDEO: Wadau waeleimu Tanzania waomeomba waandaji wa maonesho ya ya kitaifa na kimataifa ya shule zinazofanya vizuri nchini#VIDEO: Wadau waeleimu Tanzania waomeomba waandaji wa maonesho ya ya kitaifa na kimataifa ya shule zinazofanya vizuri nchini

#VIDEO: Wadau waeleimu Tanzania waomeomba waandaji wa maonesho ya ya kitaifa na kimataifa ya shule zinazofanya vizuri nchini. kuangalia uwezekano katika maonyesho yajayo kuongeza muda zaidi ya ushiriki ili kutoa fursa ya washiriki kujifunza mambo mbalimbali yakiwemo ya kitaaluma.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Graiyaki, Bw. Ndaro Deus, ambayo ni miongoni mwa Shule zilizo shiriki katika maonesho hayo ambapo shule hiyo ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri zaidi kitaaluma na kupata fursa ya kushiriki katika maonyesho huku akibainisha kuwa shule yao imekuwa miongoni mwa shule 103 nchini zilizoshiriki maonyesho hayo ya siku mbili.

Kwa upande wa baadhi ya wanafunzi wamepongeza wa shule hiyo wamepongeza kwa shule yao kuwa shule pekee mkoani Mara kushiriki katika maonesho hayo huku wakimpongeza Mkurugenzi wa shule za Graiyaki na Twibhoki, Bi. Grace Godfrey kwa usimamizi nzuri wa shule hizo.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *