#HABARI: Aliyekuwa akitetea Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, amezungumza mara baada y…#HABARI: Aliyekuwa akitetea Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, amezungumza mara baada y…

#HABARI: Aliyekuwa akitetea Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, amezungumza mara baada ya jina lake kutorudi katika vikao vya kuchuja wagombe ubunge.

Amewataka Wana-CCM kuheshimu maamuzi ya vikao vya chama na kuungana pamoja kuhakikisha chama chao kinaendelea kushika dola kwa kumpigia kura Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea ubunge aliyepitishwa na chama, Kassim Mbaraka Amari.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *