#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo …#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo …

#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo.

Amekabidhiwa fomu hiyo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbulu Vijijini Ndugu Joseph Sambo. Bunge lililopita Flatei alikuwa mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *